Zanzibar ni Jimbo? Nchi? Sehemu? Group ya Mikoa ya Tanzania?

Pharaoh

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
843
250
Wakuu tubadilishane maoni.
baada ya nchi zilizounda USA kuungana zilibakia kuwa Majimbo.
Tanganyika na Zanzibar zilikuwa Nchi mbili Huru ziliungana na kujubalika kuwa Jamhuri Moja ya Tanzania
Je? Leo ukiacha mbali tamaa, chokochoko hizi pande zilizoanzisha Republic of Tanzania ni nini?
 
bobovic

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
725
0

kama sisi wenyewe hatuna jibu kamili kuhusu zanzibar na tunatafautiana majibu yetu,ni bopa tuvunje huu muungano maana haueleweki.tutakuja kupata matatizo kama ya mpaka wetu na malawi kwenye ziwa Nyasa/malawi
 
mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,309
2,000
Wakuu tubadilishane maoni.
baada ya nchi zilizounda USA kuungana zilibakia kuwa Majimbo.
Tanganyika na Zanzibar zilikuwa Nchi mbili Huru ziliungana na kujubalika kuwa Jamhuri Moja ya Tanzania
Je? Leo ukiacha mbali tamaa, chokochoko hizi pande zilizoanzisha Republic of Tanzania ni nini?
Ambacho si sawa ni aina ya muungano tulionao kutambua nchi moja iliyounda muungano huku ikiacha Nchi nyingine Gizani. Twaweza tusiige aina ya mfumo wa muungano wa nchi zilizounda USA...bali kubadilisha mfumo huu na kupachika mwingine utakaotambua Tanganyika na Zanzibar kisha kile kitakachozaliwa kwa kuungana kwao...its simple like that...ugumu unatokea wapi...sisi sote ni ndugu naamini hakuna litakaloharibika.
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,741
2,000
Kwani muungano wa Marekani ndiyo wa Tanzania? Wewe unaonaje? Kama Zanzibar si nchi wazanzibari wanatoka wapi? Kama Tanganyika ni nchi watanganyika walifia wapi? Hivi watu kudai haki yao nayo ni tamaa au chokochoko? Kinachopaswa kufanywa ni nini? Kwanini tunalaumu upande mmoja kwa chokochoko huku tukiufumbia macho wa pili kwa ukondoo? Kama wazanzibar watataka waondoke kwenye Muungano tunazuia wa nini? Kwanil lazima kuungana nao? Sioni mantiki ya kijipande kidogo cha ardhi kisicholingana na hata wilaya ya Lushoto kutuumiza vichwa. Let them go given that they must be warned that they won't be allowed to come back.
Wakuu tubadilishane maoni.
baada ya nchi zilizounda USA kuungana zilibakia kuwa Majimbo.
Tanganyika na Zanzibar zilikuwa Nchi mbili Huru ziliungana na kujubalika kuwa Jamhuri Moja ya Tanzania
Je? Leo ukiacha mbali tamaa, chokochoko hizi pande zilizoanzisha Republic of Tanzania ni nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom