Enzi za Kikwete, Tundu Lissu ananyukana kwa hoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali... Lukuvi anaingilia... Mara Chenge naye anaibuka... Watu wanagonga meza, mara kwa mbali unasikia "Kuhusu...
Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais wa JMT kupitia ACT Wazalendo mwaka 2015 na kushindwa. Baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Mwaka 2020 Queen Sendiga aligombea Urais...
MTIA NIA UBUNGE AANZISHA FUJO
Mtia nia ya Ubunge Jimbo la segerea ndugu Rajabu Amiry afanya fujo katika kikao cha maelekezo kwa watia nia ya ubunge wilaya ya ilala huku akiwa ameandaa kundi...
Mkazi mmoja wa Bwina Chato ndugu Majumbi amaejipatia Tsh laki tatu na sabini baada ya kushona shati la kijani, suruali nyeusi na kofia ya kijani iliyoandikwa SSH 2025
Hii ndio inaitwa akili mkichwa.
Nimeikuta hii video mahali ila ikanifikirisha Sana. Nikaiweka kwenye muktadha wa changuzi zinazofanyika Tanzania.
Kwanza mama kwenye hii "clip" ni mfumo wa kiuchaguzi Tanzania na mtoto ni CCM...
Siasa inahitaji wachache wenye akili kumudu kwa wakati flani, au kipindi fulani kuweza wachezesha gwaride. Malengo yanapotimia kwa wakati huo, usiwaone tena wakendeleza Gwaride lao.
Siwezi...
Wakuu!
:D:D Watia Nia naona wanataka kuonewa huruma siyo Sera ndio ziwabebe
Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Nguvu Chengula maarufu kama...
Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya.
Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu
Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania
Angalia mazingira, angalia...
Hivi karibuni ndugu Polepole baada ya kujiuzuru ubalozi ame-trend sana na kujipatia maujiko (umaarufu) kuwa ni mpigania haki, demokrasia na utawala Bora.
Swali la kujiuliza ni kweli Polepole ana...
Kila kona ya Tanzania yanasikika mayowe ya wana CCM kutuhumiana kudhulumiana huku wakirusha lawama kwa CHADEMA kwa nini hawashiriki uchaguzi na kusababisha dhuluma iwe kubwa ndani ya CCM...
Vingozi wetu wameamua kujimilikisha nchi. Wanaunda bunge la ndugu jamaa na marafiki ambalo litakuja kuzaa baraza la mawaziri la ndugu jamaa na marafiki, viongozi wateule wa sekta mbalimbali...
Unaweza dhani ni mazingaombwe,, na pengine ukajiuliza, Hawa Polisi Wana akili kweli? Mwisho jibu linabaki kua ni kweli Hawana akili.
Ndugu msomaji, Kufuatia Msajili , Kufungia Kanisa Kihuni huku...
Wanajeshi wote na askari wa vyombo vyote vya ulinzi ni CCM.
Niwakumbushe tu Nyerere alicopy mfumo wa kikomunisti wa China japo hatukuwa wakomunisti kamili kama wao lakini tulikuwa na elements...
Taarifa tulizopewa na wakazi wa kijiji hicho kinachoitwa KEKO JUU zinaeleza kwamba, Mnyukano wa Siasa za kishamba za ccm umefikia hatua ya kuhujumu huduma za kijamii kwa lengo la kusagiana...
Naona sasa kama watanzania wameanza kutazama wapi wanatoka na wapi wanaelekea.
Sijawahi kusikia ni wapi watumishi wa serikali wamegoma kushiriki mbio za mwenge.
Je huu tunaweza kusema ndiyo...
Jamii na vyombo mbalimbali vya kimataifa vinashangazwa na utawala wa Tanzania namna wanavyominya haki za watanzania, na jinsi wanavyomfanyia uharamia Tundu Lisu. Washangazwa jinsi Lisu...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema:
“Sheria ya Uchaguzi...
Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu.
Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni.
Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.