Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Heshima sana wanajamvi, Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana. Katika hatua ya kujiondoa...
22 Reactions
113 Replies
8K Views
Muungano wa Tanzania na Zanzibar ni kitu nyeti cha thamani kubwa sana kinacholindwa kwa gharama yoyote, yaani kwa gharama yoyote ile. Na watu walioapa kuulinda Muungano kwa gharama yoyote wapo na...
1 Reactions
0 Replies
234 Views
Wakuu IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi. Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu Source: Uhondo TV
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwl Nyerere aliwahi kusema dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuiacha. Pia Mwalimu alisema kinachowafanya Watanganyika kusema sisi Watanganyika ni uwepo wa Wazanzabar, na...
5 Reactions
4 Replies
408 Views
Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko...
2 Reactions
1 Replies
269 Views
Ndugu zangu Watanzania , Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
5 Reactions
285 Replies
9K Views
Tarehe na Mwezi kama Leo ya Mwaka 1984, Taifa lilipatwa na majonzi makubwa. Jioni saa 11 kulisambaa taarifa kuwa Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Moringe Sokoine amepata ajali na kufariki dunia...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anaendelea kuwa Kama Ua la Waridi,Nyota ya asubuhi iletayo tumaini la pambazuko. Rais wetu Mpendwa anaendelea Kuwakosha na kukonga nyoyo za wengi, anaendelea...
1 Reactions
64 Replies
2K Views
Ni miaka sasa imepita tangu sokoine afariki dunia. nakumbuka nilikua mdogo sana wakati ule nilihisi majonzi makuu ya taifa. mzee wangu alinunua kitabu chenye historia ya bwana huyu. ilinisaidia...
7 Reactions
60 Replies
12K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai chini Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 31 Januari, 2023...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi CCM,chama kiongozi Barani Afrika,chama kilichobeba matumaini ya watanzania,chama kinachoaminika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania...
1 Reactions
15 Replies
951 Views
DKT. SERERA AIPONGEZA POSTA KWA UBUNIFU WA USAFIRISHAJI 📍Nanenane, Dodoma 🗓️ 06 Agosti, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera amelipongeza Shirika la Posta...
1 Reactions
0 Replies
205 Views
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi...
44 Reactions
372 Replies
22K Views
Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu Wananchi wataanzia...
0 Reactions
4 Replies
505 Views
Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha? Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa...
32 Reactions
153 Replies
7K Views
I will be short Miundo mbinu yetu ya leo ni kama 2005, barabara mbovu sana, magari mbovu, services mbovu, rushwa imekithiri, USALAMA bado sio mzuri, umeme sio wa uwakika. Hospitals hamna dawa...
1 Reactions
11 Replies
496 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa usiku na mchana akitoa na...
5 Reactions
97 Replies
3K Views
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hakuna ubishi kuwa kwa takwimu zilizopo zinaonesha kuwa hana mvuto wa kisiasa kwa jamii ya watanzania na ndani ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
5 Replies
433 Views
Tazama haya machache; 1. Kumpiga Chilongani mgonbea mwenzie kwenye kura za maoni CCM Kongwa 2015 2. Kukataa kumlipia Tundu Lissu matibabu kisha kumnyang'anya ubunge wa Ikungi, mwaka 2017-19 3...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Hapo mwanzoni aliyumba ,Ila kwa point aliyoongea anastahi 2025 apitishwe na CCM kugombea urais ,ni aibu kupitisha pitisha bakuli kimataifa huku umepandisha tozo. Umeweka tozo kila sehemu halafu...
17 Reactions
86 Replies
6K Views
Back
Top Bottom