Ndugu zangu Watanzania,
Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ameibuka kidedea na kutakata katika Kuwania ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara kundi...
Msikilizeni, mtatambua mnapeleka wabunge wa aina Gani Dodoma.
Elimu ya mgombea ubunge isipozingatiwa,nchi inaangamia.
Siasa sio ugomvi siasa ni upendo kama Simba na Yanga kwahiyo naomba maswali...
Katika kampeni zake za kuomba kura kwa wajumbe Ndugai kasikika akisema yeye ni mke mkubwa. Swali ambalo najiuliza bila kupata majibu. Je, mme wake ni nani mwenye wake wengi na kwamba yeye...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi anatuhumiwa kuhusika katika mipango ya kuiba kura za maoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Agosti 4, 2025...
Jumuiya ya wazazi ya chama Cha Mapinduzi (CCM) imetangaza matokeo ya uchaguzi wa wabunge na wa wakilishi wa Jumuiya hiyo huku Catherine Joachim akijinyakulia ushindi kwa nafasi ya ubunge Tanzania...
eneo kubwa la bandari kavu ya kwala ni pori tu, limejaa nyasi tu, ila wamejenga kisehemu cha kuwekea hayo ma container kidogo sana, halafu rais ndio anaenda kukizindua,
why wasijenge mpaka...
Mtia nia ya kugombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini Babalevo ameahidi kulipa jina soko lililopo kata ya Kipampa wilayani humo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani amewakumbusha wanahabari wajibu wao wa kuhakikisha vyama vya siasa na wagombea wanapata nafasi ya kufikisha ujumbe wao kwa wapiga kura katika kipindi...
Aliyekuwa mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Meatu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Joseph Mwanambuke, ambaye jina lake halikufanikiwa kupenya katika orodha ya awali ya walioteuliwa...
Wanachama wa CCM Kata ya Itamboleo Wialaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya wameiomba kamati Kuu ya Chama hicho kuruhusu majina ya wagombea Udiwani wote waliochaguliwa na wajumbe yarudishwe ili kura za...
Kama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess...
Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
Ndugu Rais Magufuli, ndugu Majaliwa Waziri mkuu, ndugu Mhagama waziri mhusika salam sana kwenu.
Leo naandika kuwauliza kama mnajua kwamba OSHA kuna mateso na kuna Malkia.
CEO wa OSHA nani kampa...
Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote.
Chama kimekomaa na...
Tukiangalia mwelekeo wa uongozi Tanzania, kuna hali inayoashiria kuwa baadhi ya familia za viongozi wa Kiislamu zimejenga mizizi ya kisiasa kizazi kwa kizazi. Swali ni je, hili ni suala la kulala...
Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa...
Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi anatuhumiwa kuhusika katika mipango ya kuiba kura za maoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho unaotarajiwa kufanyika Agosti 4, 2025...
Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni.
Matiko amewahi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.