Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
MTIA NIA UBUNGE AANZISHA FUJO
Mtia nia ya Ubunge Jimbo la segerea ndugu Rajabu Amiry afanya fujo katika kikao cha maelekezo kwa watia nia ya ubunge wilaya ya ilala huku akiwa ameandaa kundi kubwa la wanahabari nje ya ofisi za ccm ilala kinyume na utaratibu
Akiongoza kundi kubwa la wasanii kufanya fujo katika kuelekea mchakato wa kura za maoni