Mzee wa V8 Mzalendo

Mzee wa V8 Mzalendo

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Siasa inahitaji wachache wenye akili kumudu kwa wakati flani, au kipindi fulani kuweza wachezesha gwaride. Malengo yanapotimia kwa wakati huo, usiwaone tena wakendeleza Gwaride lao.

Siwezi kusahau kipindi kilichopita kama waTanzania. Bado tutaaminishwa hiyo vurugu ni ya masilahi mapana nje ya mipaka ya Chama? tunajidanganya.

Hawa leo wanaojitolea kujaribu kusema maovu yanayotokea wakati chanzo chake kilianza awamu ile na Hao ndio walikuwa very powerful figure untouched. Na walikaa kimya kabisa

Na wanachofanya Sasa ni Power struggle tu, ni Bora Mama ijapokuwa ameshaonesha mapungufu yake kama Binadamu. (Na ndio wameona mtaji mzuri).

Kuliko ile Team iliyohasisi haya ambayo tunakabiliana nayo mpaka Sasa. Hivi leo hii Mzee Ndugai, Polepole wa vi8 wamekuwa mashujaa.

Ni hatari sana kwa kweli.


NB: Polepole ni mtu bright sana, msiingie ngomani.
 
CCM wote ni wale wale tu. Chama kwanza, matumbo yao yanafuatia, halafu maslahi ya Taifa yanawekwa mwisho.
 
Back
Top Bottom