Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri anayemaliza Muda wake Morris Makoyi amejikuta akizomewa na wananchi wa Kata ya Mabogini katika zoezi la Kujinadi...
0 Reactions
3 Replies
455 Views
Mtia nia wa udiwani mkoani Mara, Bw.Siza Mwita Keheta kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Ganyange Wilaya ya Tarime mkoani Mara, pamoja na rafiki yake ambaye ni Mfanyabishara wa...
0 Reactions
6 Replies
538 Views
Msimamizi wa uchaguzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Kheri Mkamba, leo ameongoza zoezi la kuanza kwa uchaguzi wa kura za maoni katika Kata ya Mjimpya...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
Wanabodi, Kutokana na hali ya kisiasa nchini kwetu, huo ndio ukweli. Ukubali au ukatae, wajumbe wakishapitisha majina, hayo majina kwa asilimia kama 98% au 99% ndio wawakilishi tutakaokuwa nao...
2 Reactions
3 Replies
363 Views
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mkoa wa Morogoro Abdallah Kirungu kupitia Chama cha Mapinduzi amewataka Wananchi kutokubali kudanganyika kwa pesa za mtu bali wamchague Kiongozi...
2 Reactions
3 Replies
460 Views
Wakuu, Naona wajumbe wameendelea kuwashika pabaya wanasiasa. Yaani swali dogo tu hivi kama amepanic hivi Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Wajumbe na mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Njombe Mjini wakiwa tayari kwa ajili ya kupiga kura za maoni kuchagua diwani wa Kata ya Njombe Mjini na Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini...
0 Reactions
2 Replies
309 Views
Wagombea Ubunge na udiwani katika Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Agosti 2, 2025 walipoitwa mbele ya wajumbe Kata ya Kiwalani kwa ajili ya kutambulishwa kabla ya kuwaomba...
1 Reactions
1 Replies
438 Views
Ratiba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inaonesha kuwa leo Agosti 4, 2025 ni siku ya Mikutano Mikuu ya Kata/Wadi na Jimbo kupiga Kura za maoni za Wagombea wa Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Wajumbe na mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Miburani wakiwa wanahakiki majina kwa ajili ya kupiga kura za maoni kuchagua diwani wa Kata ya Miburani na Mbunge wa Temeke, Mkoa wa Dar...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Nurdin Bilal Juma maarufu kama Shetta, Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa nafasi ya udiwani Kata...
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Sirari wamezuiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Kanisa Katoliki asubuhi ya leo, hali iliyozua malalamiko na sintofahamu miongoni mwa washiriki wa mchakato...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wajumbe wa Kata ya Tabata Jimbo la Segerea, jijini Dar es Salaam wametakiwa kutoka ndani ya ukumbi mara baada ya kupiga kura. Hata hivyo, tangazo la kuwataka watoke ndani kwenda nje limeibua...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Hali mnaiona kwenye kura za maoni. Morel naye kaanza kuimba wimbo wa NRNE. Mke wake katekwa na kuchomewa gari na kupigwa. Kama wao kwa wao wanafanyiana hivi, kweli bila reforms za kuweka uwanja...
3 Reactions
4 Replies
317 Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
0 Reactions
4 Replies
734 Views
Kupitia ukurasa wa akaunti yake ya Instagram mtia nia wa jimbo la Nzega vijijini ameandika haya "Kupitia Kazi Inayoongea! “kuna watu mtakuja mtasema maneno mengi sana Kwa sababu zenu mbali mbali...
0 Reactions
2 Replies
552 Views
Wakuu, Hawa wananchi wamejikusanya kupinga kitendo cha CCM kumkata jina aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kisesa kukatwa na chama hicho kwenyew mchakato wa Ubunge. Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa...
16 Reactions
167 Replies
8K Views
Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga...
1 Reactions
7 Replies
951 Views
Back
Top Bottom