Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo...
Kwenye Taifa lolote lile, vyombo vya kuilinda Katiba vinapokufa lolote lile linaweza kutokea na hakuna wa kufanya chochote kile.
Ni ukweli mchungu kuwa sasa Tanzania Katiba inavunjwa waziwazi kwa...
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha...
Rasimu ya Warioba ilipendekeza muundo wa Serikali 3 ndio Nauliza kama Mzee Kikwete angeruhusiwa kugombea Urais wa Serikali mpya ya Tanganyika
Nipo hapa na Katiba mpya ya KKKT iliyomrudisha...
Bila ya kujali Elimu zao au umri wao, wanasiasa wa CCM wamejazana huko kwenye kugombea nafasi za udiwani na ubunge.
Hawahawa wakichaguliwa ama wasipochaguliwa na kupewa madaraka mengine ya...
Kila alipo Samia na yeye yupo! Na siyo anakuwepo tu lakini pia anataka kuzungumza! Samia anashindwa kupumua kwa sababu kila wakati pua ya Kikwete ipo kisogoni kwake!
Kikwete ebu muachie huyo...
Humphrey Polepole akimjibu mmoja wa waandishi wa habari kuhusu kutoa barua ya kujiuzulu, amejibu kuwa Rais Samia alimteua hadharani na kila mmoja akaona, kwanini yeye asijibu hadharani.
nilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu.
Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili
Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini...
Kwanza, nikipongeze Chama cha Mapinduzi kwa mchakato wa kura ya maoni kwa wagombea ubunge na madiwani wa majimbo (uteuzi kwenye vyombo vya dola).
Nakipongeza sana Chama cha Mapinduzi kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=9D6yvt12c8o
Updates
Ramadhan Kailima: Vyombo vya habari visipendelee chama cha siasa kuelekea Uchaguzi
Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wanahabari wa...
Amekuwa akiletewa Zengwe na wenzake wagombea kuwa anamwaga sana pesa (ruswa)
Kiasi cha kukoswa koswa kukamatwa mara kadhaa.
Je uyu bwana mdogo COSMAS BULALA ni nani na pesa ya takrima kwa wajumbe...
Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama.
Ili...
Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
Wananchi walio wengi...
#IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
📆 Tarehe 28 Julai - 3 Agosti, 2025
Bahati mbaya Mungu haonekani face to face mana angemtandika mtu kibao. Hivi mnakumbuka kipindi cha jpm ndo kiliongoza kwa mauaji na kuteka watu na kuwafurusha wapinzani exile kama akina lisu na...
Video hii inakuonyesha makumi ya kina mama wakiwa wameacha watoto na waume zao wako kwenye foleni ya mgao wa rushwa angalia video hii sungura anamla sungura !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.