Jinsi watakao shiriki uchaguzi watakavyoibiwa na CCM

Jinsi watakao shiriki uchaguzi watakavyoibiwa na CCM

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,941
Reaction score
51,063
Nimeikuta hii video mahali ila ikanifikirisha Sana. Nikaiweka kwenye muktadha wa changuzi zinazofanyika Tanzania.

Kwanza mama kwenye hii "clip" ni mfumo wa kiuchaguzi Tanzania na mtoto ni CCM.

Kuna vyama hufurahia kushinda baadhi ya maeneo kwa kutumia mfumo wa uchaguzi uliopo, lakini CCM huuiba mfumo wenyewe.

Tatizo Bado Kuna vyama vinadhani kuna mfumo wa kiuchaguzi ambao bado unafanya kazi kumbe mfumo mzima wa uchaguzi ulishaibiwa na CCM kitambo sana.

Kinachoendelea ni CCM ndiyo inayoamua nani awe mshindi na ashindaje na siyo mfumo wa kiuchaguzi ndiyo unaoamua.

Angalia hii clip uone jinsi inavyosawiri matendo ya CCM wakati wa chaguzi!!
👇

Hii inafanana Sana na janja janja ya CCM wakati wa chaguzi.
 
 
Yaani CCM ukipiga kura wanakuibia na usipopiga kura wanatumia jina lako kupiga kura halafu hiyo kura wanaiiba na kuifanya iwe ya kwao.

CCM kwenye uchaguzi ni wezi NDOIGE wa kura. Ukipiga wataiba na usipopiga wataiba pia.
CCM ni kama kansa.
 
Back
Top Bottom