Serikali ya MAGAMBA-CCM kupitia wizara zake imeamua kutangaza juhudi na mambo mbalimbali yaliyofanywa na serikali hasa katika kipindi cha Rais Jakaya Kikwete. Si vibaya, hata kidogo, ni jambo jema. Ila ni kwa nini wamepata msukumu wa kfanya mambo haya leo? Ni msukumo unaotokana na dhamira safi kwa yale yaliyofanywa na serikali kupitia ilani zake za uchaguzi? Ama kuna msukumo nje unosababisha kuonyesha hata juhudi binafsi a wananchi na kuzieleza kana kwamba ni mkono wa serikali ya MAGAMBA.
Mimi nafikiri MAKAMANDA wa hii nchi si wengine katika kutaja mustakabali wa nchi, hasa katika kpindi hiki ambapo kinaongoza juhudi kubwa za VUGUVUGU la MABADILIKO- M4C nchini wanahitaji pongezi kubwa. Pamoja na kuisukuma serikali ya MAGAMBA kuanza mchakato wa uandishi wa katiba mpya hata hili la kuwaambia hamjafanya kitu ni MUHIMU SANA. Kwa nini?
Tunalinganisha rasilimali za asili kama ardhi, madini, mafuta, mbuga za wanyama na hifadhi zote za taifa___vichache kwa kutaja.
Tunalinganisha muda serikali hii ipo madarakani---------Above 35yrs
Tunalinganisha rasilimali watu___ sasa watu 45Milioni
Kutokea hapo tunasema MAGAMBA BADO, We need an alternative.