Jussa na ajenda ya siri dhidi ya muungano

chasuzy

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
595
207
Tatizo letu sisi vijana ni kukubali kutumiwa bila kuona adhari na malengo ya wanaotutumia.jussa nimekuwa nikimfuatilia maneno na vitendo vyake ni dhahiri kuwa yeye ni kati ya wanasiasa uchwara wanaoishi kwa fadhila za wakubwa.

Siamini kuwa jussa ajui adhari ya kitendo chake cha kutaka suala la watanzania wa bara kutoajiriwa katika sekta ya utalii zanzibar kama ingepita na kuwa sheria na wabara nao wakiamua yapo mambo ya ajira,bodi ya mikopo elimu ya juu umili wa ardhi n.k. ila kwa uchwara alionao leo nimejua kwa nini ulipinga bila kujua lengo la tanzania kuomba iongezewe eneo la bahari un bila kuona faida za kiuchumi kwa taifa letu.

Kwa nini alisema kufanya vibaya kwa CUF ktk jimbo la rahaleo kumpata mwakilishi tatizo ni wakristo na watanzania bara.

Nashubiri nisikie kituko kingine kutoka kwake
 
kwa uchungu....ningependa ajue kuwa wazawa asilia wa eneo hili la dunia tunatazamana kimahusiano nyuma zaidi kabla ya 'ukhabith" wa 1884 ambao yeye jussa anaonekana kuuona kama ni "wokovu" unaompa haki ktk eneo hili, ya kuendeleza njozi za kihabith za bismark and company...anataka kitu gani kikubwa ambacho hakipati ndani ya muungano, ambao msingi wake ni makubaliano ya viongozi wetu walioongoza harakati za kutukomboa kutoka ktk ukoloni wa kiingereza na kiarabu halikadhalika?...
 
   kama hapendi muungano wa tanzania ambao bado ni hatua za mwanzo kuelekea muungano wa "afrika ya weusi" anaweza kwenda kuzimu, au hata kwenye ardhi ya nchi ya asili ya mababu zake...!!!......afrika ya weusi ni moja....! na  kuunganisha "mamlaka" zozote za afrikaya weusi, kuwa moja ni "sacred duty".....iwapo nchi kama ujerumani inakbidhisha uchumi wake kwa jumuia ya ulaya, na ufaransa inakabidhisha jeshi lake kwa nato...zanzibar na tanzania bara zilizotengana  zina nafasi gani ktk ulimwengu unaopigania kuungana?
 
Mwache afanya anachokijua... Huyu haoni Mbali, anaona hadi chini ya miguu yake tuu..

Hajui Muungano Unaisaidia nini Zanzibar na Pemba

Ndio hao Vijana Kikwete analilia kuwapa Madaraka; hawaoni Mbali
 
Tatizo letu sisi vijana ni kukubali kutumiwa bila kuona adhari na malengo ya wanaotutumia.jussa nimekuwa nikimfuatilia maneno na vitendo vyake ni dhahiri kuwa yeye ni kati ya wanasiasa uchwara wanaoishi kwa fadhila za wakubwa.siamini kuwa jussa ajui adhari ya kitendo chake cha kutaka suala la watanzania wa bara kutoajiriwa katika sekta ya utalii zanzibar kama ingepita na kuwa sheria na wabara nao wakiamua yapo mambo ya ajira,bodi ya mikopo elimu ya juu umili wa ardhi n.k.ila kwa uchwara alionao leo nimejua kwa nini ulipinga bila kujua lengo la tanzania kuomba iongezewe eneo la bahari un bila kuona faida za kiuchumi kwa taifa letu,kwa nini alisema kufanya vibaya kwa cuf ktk jimbo la rahaleo kumpata mwakilishi tatizo ni wakristo na watanzania bara.nashubiri nisikie kituko kingine kutoka kwake

Si raha leo ni jimbo la UZINI
 
Huyu jamaa kipindi kile alipopewa ubunge na JK nilidhani ni mwelewa na mtu mwenye upeo as the days going on nimekuja kugundua ni kilaza wa kutupwa namdis sana huyu Jussa ni mnafiki na mzandiki.
 
ismail-jusa.jpg

Muwakilishi wa Mji mkongwe Zanzibar Mh Ismail Jussa
[h=1][/h] Written by ibnially // 02/01/2013 // Habari // No comments

Mjumbe wa baraza kuu Taifa CUF ambae pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Mh Ismail Jussa amesema kuwa Nchi yetu ya Zanzibar katika mwaka uliopita wa 2012 imefikia hatuwa muhimu sana iliokuwa inasubiriwa kwa kipindi cha muda mrefu kwani imewawezesha wananchi wake kutoa maoni yao juu ya muundo gaini wa Muungano wanaoutaka ndani ya nchi yao kati yake na Tanganyika.
Ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumzana wafuasi wa chama cha wananchi cuf pamoja na wananchi mbali mbali katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo katika uwanja wa mzushi uliopo jimbo la mtoni wilaya ya Mjini Unguja, Mh Jussa amesema kuwa Wananchi wa Zanzibar kudai mamlaka ya nchi yao sio suala la Udini kama wananavosema baadhi ya watu wengine isipokuwa ni haki yao ya msingi kwani kutaiwezesha nchi yao kuwa na mamlaka kamili ambapo kutawapelekea kujiamulia wanachokitaka juu ya nchi yao hivo basi baadhi ya watu wanaosema kuwa kudai mamlaka kamili ni Udini au uhizbu hao hawajuwi siasa za Zanzibar zilivyo na wanakosea na hawapaswi kusema hivo.
Kero la wananchi wa Zanzibar ni kufdai haki ya nchi yao kama Dola iliongana na Tanganyika ambazo zote zilikuwa nchu huru , sasa wenye kupaka sumu ya udini basi wamechindwa kueleza hali halisi kuhusu haki za zanzibar katika Muungano.

dini ni kichecheo cha wasio itakia Mema Zanzibar na kutafuta hoja za kulichafua jina la Zanzibar na Watu wake ambao % 99 ni waislamu , kini hasa cha matatizo ya Zanzibar ni Muungano na sio dini au Uhidhbu.

Akibainisha kuhusu mambo yalioikandamiza Zanzibar ndani ya Muungano huu uliopo hivi sasa ni pamoja na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano kuyachukua mambo yasikuwa ya Muungano kuyafanya kua ni ya Muungano jambo ambalo limedumaza nchi yetu kiuchumi zaidi na kuonekana kuwa ni nchi maskini sana dunian,i akibainisha mambo hayo yalioingizwa kinyemela ndani ya Muungano huo kuwa ni Masuala ya Sarafu suala hilo hapo awali halikuwemo kabisa ndani ya orodha hio na wakati lilipoingizwa hata Serikali ya Zanzibar haikuwa na Taarifa na walikataa kabisa kuingizwa kwa jambo hilo kwani mpaka kitabu kiliandikwa kwa kuonesha kutokuridhika kwao na kitendo hicho.

Sambamba na hayo Jussa ameleza kuwa Zannzibar ni miongoni mwa Nchi za Visiwa kama zilivo nchi nyengine Duniani hivo basi kwa kawaida Nchi za kisiwa hutegemea zaidi uchumi wake kutokana na Bahari pamoja na utalii lakini hali haipo hivo kwa Zanzibar kwani upande wa pili wa Muungano huu umehodhi mamlaka ya bandari ndani ya Zanzibar pamoja na suala Zima la Utalii kwani hata ukienda huko kwenye Ofisi za Balozi za Tanzania Nje ya nchi wanaitangaza Tanzania kiutalii na sio Zanzibar jambo ambalo ni miongoni mwa sababu zakuikandamiza Zanzibar kwa makusudi.
Aidha mh Jussa ameleza kuwa kuhusu suala la elimu Nchi yetu inakandamizwa sana ni hivi karibuni tu kila mtu kati yetu aliona wazi wazi kuwa Wizara ya Elimu ya Tanzania ilishawazuia wanafunzi wa Zanzibar kutokufanya Mitihani ya Taifa
 
Muungano upi?Kwani India na Pakistani zimeshaungana tena?Sasa mbona huyu mkashmir analalamika?shame on Jusa
 
kwa uchungu....ningependa ajue kuwa wazawa asilia wa eneo hili la dunia tunatazamana kimahusiano nyuma zaidi kabla ya 'ukhabith" wa 1884 ambao yeye jussa anaonekana kuuona kama ni "wokovu" unaompa haki ktk eneo hili, ya kuendeleza njozi za kihabith za bismark and company...anataka kitu gani kikubwa ambacho hakipati ndani ya muungano, ambao msingi wake ni makubaliano ya viongozi wetu walioongoza harakati za kutukomboa kutoka ktk ukoloni wa kiingereza na kiarabu halikadhalika?...

bas kiuhalisia wakaaz wengi wa zanzibar siyo wazanzibar kwa sababu wamechanganya damu kutoka sehemu nyengine lakini yy jusa anaweza kuwa mzamzinar kwa sababu amezaliwa znz na hyo inakubalika world wide km mtoto atazaliwa nchi fulan anaweza kuomba uraia. lakin na hku bara tujiulize kwann wahaya wanasema wao si watanzania?
 
kiukweli toka moyoni mimi sidhani kama wazanzibar weusi wanamatatizo.... we angalia wote wanaotaka muungano uvunjike au wanaoanzisha vuguvugu za kidini zanzibar na hata mombasa wana asili ya kiarabu yani ni wale weupe wageni inshort na ndio watakaopeleka nchi pabaya hapa ndo tunaona.kumbe Idd Amin alifanya cha maana kuwafukuza hawa watu kipindi kile ebu cheki Zanziba Mombasa Sudani Somalia ni hawa waarabu na waarabu koko na wala si weusi sema tu tunaogopa sanction za UN isingekua hivo ningeshauri hawa watu na sisi tuwafukuze tunaeza kupata amani wanajifanya wababe sana na huku wakimwona Bush wanakimbilia mahandaki
 
Huyu jamaa kipindi kile alipopewa ubunge na JK nilidhani ni mwelewa na mtu mwenye upeo as the days going on nimekuja kugundua ni kilaza wa kutupwa namdis sana huyu Jussa ni mnafiki na mzandiki.

Dreson3 16:38 Today
kiukweli toka moyoni mimi sidhani
kama wazanzibar weusi
wanamatatizo.... we angalia wote
wanaotaka muungano uvunjike au
wanaoanzisha vuguvugu za kidini
zanzibar na hata mombasa wana
asili ya kiarabu yani ni wale weupe
wageni inshort na ndio
watakaopeleka nchi pabaya hapa
ndo tunaona.kumbe Idd Amin
alifanya cha maana kuwafukuza
hawa watu kipindi kile ebu cheki
Zanziba Mombasa Sudani Somalia
ni hawa waarabu na waarabu koko
na wala si weusi sema tu tunaogopa
sanction za UN isingekua hivo
ningeshauri hawa watu na sisi
tuwafukuze tunaeza kupata amani
wanajifanya wababe sana na huku
wakimwona Bush wanakimbilia
mahandaki
 
Tatizo letu sisi vijana ni kukubali kutumiwa bila kuona adhari na malengo ya wanaotutumia.jussa nimekuwa nikimfuatilia maneno na vitendo vyake ni dhahiri kuwa yeye ni kati ya wanasiasa uchwara wanaoishi kwa fadhila za wakubwa.

Siamini kuwa jussa ajui adhari ya kitendo chake cha kutaka suala la watanzania wa bara kutoajiriwa katika sekta ya utalii zanzibar kama ingepita na kuwa sheria na wabara nao wakiamua yapo mambo ya ajira,bodi ya mikopo elimu ya juu umili wa ardhi n.k. ila kwa uchwara alionao leo nimejua kwa nini ulipinga bila kujua lengo la tanzania kuomba iongezewe eneo la bahari un bila kuona faida za kiuchumi kwa taifa letu.

Kwa nini alisema kufanya vibaya kwa CUF ktk jimbo la rahaleo kumpata mwakilishi tatizo ni wakristo na watanzania bara.

Nashubiri nisikie kituko kingine kutoka kwake
Kauze njugu huko wewe, hukusoma ulitemea nini ?
 
nje ya muungano jussa sio mzanzibari ni mwindi koko hilo alijue linakuja kwake.

"haijawahi kuwa hivyo na wala haitakuwa. tunajijua wazanzibari ni nani, sijui nyinyi wenzetu maana wa akina aina ya jussa mnao wengi huko kwenu. jussa hakuupata uwakilishi wa mji mongwe kwa rushwa, bali ni kipenzi na mtetezi wetu. tumemchagua kwa ridhaa zetu na tulizilinda kura zetu ..... upo?"

Dreson3 16:38 Today
kiukweli toka moyoni mimi sidhani
kama wazanzibar weusi
wanamatatizo.... we angalia wote
wanaotaka muungano uvunjike au
wanaoanzisha vuguvugu za kidini
zanzibar na hata mombasa wana
asili ya kiarabu yani ni wale weupe
wageni inshort na ndio
watakaopeleka nchi pabaya hapa
ndo tunaona.kumbe Idd Amin
alifanya cha maana kuwafukuza
hawa watu kipindi kile ebu cheki
Zanziba Mombasa Sudani Somalia
ni hawa waarabu na waarabu koko
na wala si weusi sema tu tunaogopa
sanction za UN isingekua hivo
ningeshauri hawa watu na sisi
tuwafukuze tunaeza kupata amani
wanajifanya wababe sana na huku
wakimwona Bush wanakimbilia
mahandaki

"umefanya utafiti hata ukafikia kusema hivyo? sisi sote wazanzibari tupo bega kwa bega na mh jussa. hata kwenye utoaji wa maoni ya katiba ya papo kwa papo asilimia 66 tulisema tunataka zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa. acha uzandiki wako"
 
Kila kitu kina mwanzo na mwisho,acha muungano ufe,tuanze maisha mapya.Tumechoka na vitisho vya wazanzibar!
 
   kama hapendi muungano wa tanzania ambao bado ni hatua za mwanzo kuelekea muungano wa "afrika ya weusi" anaweza kwenda kuzimu, au hata kwenye ardhi ya nchi ya asili ya mababu zake...!!!......afrika ya weusi ni moja....! na  kuunganisha "mamlaka" zozote za afrikaya weusi, kuwa moja ni "sacred duty".....iwapo nchi kama ujerumani inakbidhisha uchumi wake kwa jumuia ya ulaya, na ufaransa inakabidhisha jeshi lake kwa nato...zanzibar na tanzania bara zilizotengana  zina nafasi gani ktk ulimwengu unaopigania kuungana?

" he naona kipovu cha mdomo kinakutoka! punguza munkar baba. sisi wazanzibari kwa umoja wetu hatuupendi huu muungano uliopo. ama "wa mkataba" au tuishi kam amajirani wema. au pia hulitaki hilo? we mkikuyu au mhaya. lakini naona hata hawa tumechanganya nao"
 
Heeeee kumbe mtu kudai mamlaka kamili ya nchi yake anakua mkosa!!!!
Kuna watu mwaka huu watapatwa na kazi kweli kweli, huku Zanzibar CCM wameshapoteza mvuto kwa vijana na kila kukicha vijana wanawahama! Heko Jussa na CUF kwa kuwawafanya watu wawe hawapati usingizi.
 
"umefanya utafiti hata ukafikia kusema hivyo? sisi sote wazanzibari tupo bega kwa bega na mh jussa. hata kwenye utoaji wa maoni ya katiba ya papo kwa papo asilimia 66 tulisema tunataka zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa. acha uzandiki wako"

Utafiti wa nini wakati kila kitu kiko wazi au we huoni mkuu nafaham unafaham viongozi wako afu sidhani kama kuna kitu kimejificha ingekua nackiza kwebye redio poa lakini nawatazama.kwenyae tv na mtandaoni weusi ni wachache sana kama kama akina ponda. ila ukweli utabaki pale wenye asili ya asia wengi ndo chanzo
 
ismail-jusa.jpg

Muwakilishi wa Mji mkongwe Zanzibar Mh Ismail Jussa
Written by ibnially // 02/01/2013 // Habari // No comments

Mjumbe wa baraza kuu Taifa CUF ambae pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Mh Ismail Jussa amesema kuwa Nchi yetu ya Zanzibar katika mwaka uliopita wa 2012 imefikia hatuwa muhimu sana iliokuwa inasubiriwa kwa kipindi cha muda mrefu kwani imewawezesha wananchi wake kutoa maoni yao juu ya muundo gaini wa Muungano wanaoutaka ndani ya nchi yao kati yake na Tanganyika.
Ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumzana wafuasi wa chama cha wananchi cuf pamoja na wananchi mbali mbali katika mkutano wa hadhara uliofanyika jioni ya leo katika uwanja wa mzushi uliopo jimbo la mtoni wilaya ya Mjini Unguja, Mh Jussa amesema kuwa Wananchi wa Zanzibar kudai mamlaka ya nchi yao sio suala la Udini kama wananavosema baadhi ya watu wengine isipokuwa ni haki yao ya msingi kwani kutaiwezesha nchi yao kuwa na mamlaka kamili ambapo kutawapelekea kujiamulia wanachokitaka juu ya nchi yao hivo basi baadhi ya watu wanaosema kuwa kudai mamlaka kamili ni Udini au uhizbu hao hawajuwi siasa za Zanzibar zilivyo na wanakosea na hawapaswi kusema hivo.
Kero la wananchi wa Zanzibar ni kufdai haki ya nchi yao kama Dola iliongana na Tanganyika ambazo zote zilikuwa nchu huru , sasa wenye kupaka sumu ya udini basi wamechindwa kueleza hali halisi kuhusu haki za zanzibar katika Muungano.

dini ni kichecheo cha wasio itakia Mema Zanzibar na kutafuta hoja za kulichafua jina la Zanzibar na Watu wake ambao % 99 ni waislamu , kini hasa cha matatizo ya Zanzibar ni Muungano na sio dini au Uhidhbu.

Akibainisha kuhusu mambo yalioikandamiza Zanzibar ndani ya Muungano huu uliopo hivi sasa ni pamoja na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano kuyachukua mambo yasikuwa ya Muungano kuyafanya kua ni ya Muungano jambo ambalo limedumaza nchi yetu kiuchumi zaidi na kuonekana kuwa ni nchi maskini sana dunian,i akibainisha mambo hayo yalioingizwa kinyemela ndani ya Muungano huo kuwa ni Masuala ya Sarafu suala hilo hapo awali halikuwemo kabisa ndani ya orodha hio na wakati lilipoingizwa hata Serikali ya Zanzibar haikuwa na Taarifa na walikataa kabisa kuingizwa kwa jambo hilo kwani mpaka kitabu kiliandikwa kwa kuonesha kutokuridhika kwao na kitendo hicho.

Sambamba na hayo Jussa ameleza kuwa Zannzibar ni miongoni mwa Nchi za Visiwa kama zilivo nchi nyengine Duniani hivo basi kwa kawaida Nchi za kisiwa hutegemea zaidi uchumi wake kutokana na Bahari pamoja na utalii lakini hali haipo hivo kwa Zanzibar kwani upande wa pili wa Muungano huu umehodhi mamlaka ya bandari ndani ya Zanzibar pamoja na suala Zima la Utalii kwani hata ukienda huko kwenye Ofisi za Balozi za Tanzania Nje ya nchi wanaitangaza Tanzania kiutalii na sio Zanzibar jambo ambalo ni miongoni mwa sababu zakuikandamiza Zanzibar kwa makusudi.
Aidha mh Jussa ameleza kuwa kuhusu suala la elimu Nchi yetu inakandamizwa sana ni hivi karibuni tu kila mtu kati yetu aliona wazi wazi kuwa Wizara ya Elimu ya Tanzania ilishawazuia wanafunzi wa Zanzibar kutokufanya Mitihani ya Taifa

Kumbe Jussa ni MDOSI???
 
Back
Top Bottom