Umejiandikia tu or umetafakari kwanza as a GT ndio ukaandika!Sekretarieti mpya ya CCM ipo kazini kundeleza biashara ya utumwa (Kununua wanasiasa)!
TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com
Naona umeleta habari kishabiki vile.
Singida ni jimbo lipi lina maendeleo ?
kwa hiyo wananchi wanajiandaa kumchagua diwani anayehamasisha wachangishwe michango? Ama kweli akili ni Mali.Tundu lissu ana hali mbaya jimboni kwake, umaarufu nje ya jimbo lakini nyumbani kunateketea
kama samaki na maharage,haaa haa.chezea ccm nin?Yale mabilioni ya kuivuruga Chadema yako kazini, kila kukicha watu wana nunuliwa
kwa hiyo wananchi wanajiandaa kumchagua diwani anayehamasisha wachangishwe michango? Ama kweli akili ni Mali.