Tahadhari CHADEMA & BAVICHA rushwa hiyo

Tahadhari CHADEMA & BAVICHA rushwa hiyo

KALOKAZA

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
95
Reaction score
135
Nilikuwa Magomeni, hoteli inaitwa Sea boys kuna Mkakati unapangwa na wa kuwahonga baadhi ya Makada wa CHADEMA, au Vijana kuvuruga au kuingiza ajenda zao ikiwemo kubadili mwelekeo wa maamuzi ya yanayotarajiwa kufanywa na vijana.

Wamekuwa sanasana wanataja kamati ya Bavicha, Kama kuna mkutano unaotarajiwa kufanyika karibuni viongozi wa CHADEMA kuweni macho.

Kama kuna kamati hiyo kweli sasa kuna hatari ya kuumbuka, au CCM kufanikisha mikakatiyao kupenya ndani ya kamati hiyo.
 
Asante kamanda kwa kutudokezea habari za ki-intelejensia. ushauri wangu kwa magamba ni vyema wakatumia hizo pesa na mda kuwaletea wananchi maendeleo kama vile, kuwanunulia madawa, madawati, vitabu n.k CHADEMA ni ngome imara msipoteze mda wenu.
 
Mkuu ahsante kwa info na ninaamin viongozi wa chama wata-note it.

Viongozi wa Bavicha, Mkiongozwa na Heche na Munishi, zingatieni haya. Tumaini kama hawa jamaa hawajaiona habari hii tafadhari saidia kuifikisha sehemu muhimu kwa mkakati.
 
Hatari!.. kuua upinzani ni hatari sana. Watu hawatakuwa na mahali pa kusemea watatumia nguvu kupata haki zao!..
 
Mikakati ya Jijinga sana, Mbona Chama kama ANC cha south Africa mabaco ni chama rafiki cha MaCCM hakitumii hizi njia za kitoto?
 
Nilikuwa Magomeni, hoteli inaitwa Sea boys kuna Mkakati unapangwa na wa kuwahonga baadhi ya Makada wa CHADEMA, au Vijana kuvuruga au kuingiza ajenda zao ikiwemo kubadili mwelekeo wa maamuzi ya yanayotarajiwa kufanywa na vijana.

Wamekuwa sanasana wanataja kamati ya Bavicha, Kama kuna mkutano unaotarajiwa kufanyika karibuni viongozi wa CHADEMA kuweni macho.

Kama kuna kamati hiyo kweli sasa kuna hatari ya kuumbuka, au CCM kufanikisha mikakatiyao kupenya ndani ya kamati hiyo.

KALOKAZA,

Historia inaonyesha hii ni post yako ya Kwanza.Je,Umejiunga JF kwa ajili ya kuleta Post hii?

-Je,haiwezekani kuwa kwamba wewe ni mmoja wapo wa kundi la Masalia mnajaribu kupima upepo hapa?

-Je Inawezekana kwa kundi la Masalia kukutana sehemu ile ile?Kukutana kwao hivi karibuni kumekua Nyumbani au Hotel Za mbali na tulikozoea kukutana.Imekuaje leo wameenda Sea Boys tena Barabarani pale? Anyways,Kwa kuwa hawako makini kiasi hicho pia inawezekana ila nina-doubt ID yako hii

KUHUSU SEA BOYS HOTEL:

Nakubaliana na wewe kwamba hapa ni sehemu ambako Kundi la Masalia limekua likikutana mara nyingi na hata mimi nilishawahi kuhudhuria hapo kama mara 4.

Sasa mazingira ya post yako yana utata.Bado maelezo yako hayatoshelezi!
 
Kati ya hao 7 kwanini sio ww?naona umejiwahi sana.
 
Mwe! Ina maana huyu Jamaa atakuwa ni Masalia?
Kama ndiyo, unahisi lengo lake hasa kuleta hii tahadhari ni nini?
Kwa muono wangu, maadam ametoa tahadhari, ni vyema ikafanyiwa kazi.
BAVICHA ni Binadamu wale, wanaweza kujikuta wanashawishika kwa Pesa pia.
 
Yaani huko BAVICHA hakufai.

Well Ben, naweza kunusa harafu ya maneno usemayo kuwa yana dalili za ukweli.

Vijana wengi wa Tanzania wameingia kwenye siasa ki-majitaka majitaka vile. Kinahitajika kizazi cha viongozi kuandaliwa kama tuko serious na nchi hii
 
Mwe! Ina maana huyu Jamaa atakuwa ni Masalia?
Kama ndiyo, unahisi lengo lake hasa kuleta hii tahadhari ni nini?
Kwa muono wangu, maadam ametoa tahadhari, ni vyema ikafanyiwa kazi.
BAVICHA ni Binadamu wale, wanaweza kujikuta wanashawishika kwa Pesa pia.[/QU kumbe cdm kuna waganga njaa enh,kwamba wanaweza shawishika kwa pesa,asante kwa tarifa.
 
mwendo huu ni uleule mwenendo uliosifiwa, kisha ghafla haohao waliosifu wakageuka kama kinyonga, mleta uzi ameishajua aandike nini? ili awapate watu wa mrengo gani? ambao bila kufikiri kwa umakini wanaingia kichwa kichwa kisha wanajistukia, kwako mleta mada watu hao walikuwa wanafanya nini? walivaaje walikuwa wangapi? yupo unayemfahamu? walijitenga au walikuwa wanaongea wakiwa wamechanganyika na watu wengine. na je walikuwa wanakunywa vinywaji vya aina gani? maana kamanda wa ukweli anaweza kumtambua mtu kwa kinywaji special anachokunywa. ukamanda ni kazi si magwanda.
 
hivi Bavicha ni kesho ndiyo wana kutana watu wameanza kuweweseka nasikia mwingine kule mbeya kajivua uanachama bado masalia..
 
KALOKAZA,

Historia inaonyesha hii ni post yako ya Kwanza.Je,Umejiunga JF kwa ajili ya kuleta Post hii?

-Je,haiwezekani kuwa kwamba wewe ni mmoja wapo wa kundi la Masalia mnajaribu kupima upepo hapa?

-Je Inawezekana kwa kundi la Masalia kukutana sehemu ile ile?Kukutana kwao hivi karibuni kumekua Nyumbani au Hotel Za mbali na tulikozoea kukutana.Imekuaje leo wameenda Sea Boys tena Barabarani pale? Anyways,Kwa kuwa hawako makini kiasi hicho pia inawezekana ila nina-doubt ID yako hii

KUHUSU SEA BOYS HOTEL:

Nakubaliana na wewe kwamba hapa ni sehemu ambako Kundi la Masalia limekua likikutana mara nyingi na hata mimi nilishawahi kuhudhuria hapo kama mara 4.

Sasa mazingira ya post yako yana utata.Bado maelezo yako hayatoshelezi!

Naona uko obsessed na Masalia kiasi kwamba mambo mengine yote huelewi.
Sasa mleta thread kosa lake nini? au unadhani atakupokonya umaarufu wa kufichua mikakati ya "kiintelijensia"?
 
You can as well stop using the denial card. Especially when you confidence and faith persecutes.Kumbe kuna umaarufu tena?Afterall,ni lini ulianza kuipenda CHADEMA?

The comments are there, bold and clear.Keep pretending,Lol!
 
Daaah asante kwa taarifa wataendelea kuumbuka kila leo!
 
Back
Top Bottom