mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
Huwa najiuliza sana , Tanzania ni muungano wa Nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar
Zanzibar ipo lakini Tanzania imefunikwa!! Je ni nani anaweza kutuambia Tanganyika ilipo?!
Kama ni hivyo basi je Tanzania ni Muungano wanchi ngapi..? Je nchi moja yaweza kuungana yenyewe?
Zanzibar wana bendera yao wimbo wa taifa wao na rais wao. Je rais wa Tanganyika,wimbo wa taifa wa Tanganyika na bendera ya Tanganyika ni ipi?
Nisaidieni jamani maana mimi huwa natatizwa sana.!!!
Kwa mfano inapofikia kuadhimisha sherehe fulani kama uhuru au muungano
Tunajua tarehe 9-12-1961 ilikuwa siku ya uhuru wa Tanganyika. Sasa ajabu kila tarehe sita inapoazimiswa utasikia ama viongozi au watangazaji wa habari wanasema tunakumbuka uhuru Wa Tanzania Bara!!!! Je kuna nchi ilikuwa inaitwa Tanzania bara? au ni unafiki huu?
Wakati mwingine utasikia wakati wa sherehe za muungano wanasema leo tunakumbuka siku ya muungano wa Tanzania bara na Zanzibar......'' WHAT IS TANZANIA BARA ? IS IT A NATION?''
Nashauri katiba mpya iitambue Tanganyika.