Pichani... Dk. Harrison Mwakyembe atembelea uwanja wa ndege Songwe Mbeya

Pichani... Dk. Harrison Mwakyembe atembelea uwanja wa ndege Songwe Mbeya

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
FRIDAY, JANUARY 4, 2013


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege(TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman akimwelezea Dk Harrison Mwakyembe jinsi uwanja wa ndege songwe unavyofanya kazi toka uzinduliwe mwezi wa 12 mwaka jana na kuwa sasa uwanja huo umebaki maendeo ya maegesho ya ndege kubwa kama Boing 737 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
DSC00599.JPG
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mmoja ya wahandisi wa ujenzi wa uwanja huo wa songwe akimwelezea waziri wa uchukuzi Dk Mwakyembe akimwelezea hatuza za mwisho za ujenzi wa maegesho ya ndege kubwa[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mkuu wa majeshi Tanzani Jenerali Mwamnyange akisalimiana na kuagana na RPC wa Mbeya Diwani katika kiwanja hicho cha songwe kabla ya kuanza kwa ziara ya waziri wa uchukuzi Dk Mwakyembe [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Jenerali Mwamnyange akiondoka uwanjani hapo kurejea Dsm alikuwepo Mbeya kwa mapumziko Mafupi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Huu ni mnara wa kuongozea ndege katika kiwanja hicho cha Songwe Mbeya[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mwongoza ndege mwandamizi John Chambo akimwezea waziri Mwakyembe jinsi wananvyofanya kazi ya kuongoza ndege katika mnara huo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mkuu wa kitengo cha hali ya hewa Issa Hamad akimwelezea waziri mwakyembe juu ya shughuli zoa za upimaji wa hali ya hewa uwanjani hapo na mkoa kwa ujumla kuwa [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Hili ndilo eneo la maegesho ya ndege kubwa aina ya boing 737 ambalo mwishoni mwamwezi huu wa kwanza litakamilika[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Hili ni eneo la kutua ndege na kurukia barabara hiyo ya ndege inaurefu wa zaidi ya kilometa 3.5 km[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Hii ni sura ya mbele ya uwanja huo wa songwe Mbeya[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Hili ni jengo la kikosi cha zimamoto uwanjani hapo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Hawa ni waandishi wa habari walioanza kuripoti ujenzi wa uwanja huo tangu unaanza kujengwa mpaka sasa kulia kabisa Chales Mwakipesile Brand Nelson Felix Mwakyembe na Joseph Mwaisango inaelekea kuna kitu wanashangaa[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Waziri wa uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza ziara yake katika uwanja huo wa songwe amesema kuwa uwanja wa Songwe wa kimataifa ni kati ya viwanja vikubwa viwili kujengwa baada ya uhuru ukitanguliwa na uwanja wa Mkoa wa Kilimanjaro kwani viwanja vingine vimekuwa vikifanyiwa marekebisho [/TD]
[TD="class: tr-caption"]Tumeanzisha historia mpya kwani dunia inafahamau kwa sasa kuna uwanja wa kimataiafa wa Songwe, upo wazi umekamilika na umeanza kutumika alisema[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

SOURCE; MBEYA YETU!!!

 

Hizi PICHA MPYA zinafurahisha; UWANJA wa NDEGE SIO MBAYA... Unaonekana ni MZURI...
 
nngu007,

..hivi umelinganisha na vya majirani zetu wa Kenya.

..kama unalinganisha na uwanja wa ndege Dodoma then unaweza kuridhika.

..kinyume cha hapo uwanja huu hi hafifu kulinganisha na viwanja vya washindani wetu, particularly Kenya.

CC:
Sikonge
 
Last edited by a moderator:
nimependa hiyo run way 3.5 kms, kweli ni wa kimataifa.mwanza una 2.8 kms
 
nngu007,

..hivi umelinganisha na vya majirani zetu wa Kenya.

..kama unalinganisha na uwanja wa ndege Dodoma then unaweza kuridhika.

..kinyume cha hapo uwanja huu hi hafifu kulinganisha na viwanja vya washindani wetu, particularly Kenya.

CC:
Sikonge

Sio hivyo... Kuna picha niliziweka wiki TATU zilizopita... KIWANJA kilikuwa kinaonekana kama VILE PORINi huko MANYARA; Sasa hivi angalau naona VIJENGO na kuna MWANDISI... Sikujua HIVYO

Ni BADO ni wa KUFEDHEHESHA lakini hizi picha za leo kidogo nimeona RUNWAY na JINSI ilivyo
 
Kiwango bado,au kazi kubwa bado? Fire haiko sawa kabisa,Control tower ni fupi mno, runway haieleweki bado.Zile zebra zimepakwa wapi?Mbona imechukua muda mrefu kumalizika au kuna kitu nyuma ya pazia?Mwongoza ndege anatia huruma.
 
Nani amefanya design ya hayo majengo? Hayajakaa ki-airport kabisa!

Majengo yangepigwa chini kungali mapema sio trend za airport yenye hadhi ya kimataifa kama wanavyokalili.
 
Kwa sababu watu pia wakumbuke kuwa Mbeya iko karibu na fault line ya tetemeko la ardhi. Watu wasisahau limeshapiga la over 7.5 miaka mia 100 iliyopita...
 
tutofautishe barabara ya kutua ndege na uwanja wa ndege...je uwo uwanja una navigation beacons(VOR, NDB, ILS etc)..
maana sio kupiga kelele kuwa ni international airport bila kujua criteria...
 
nimependa hiyo run way 3.5 kms, kweli ni wa kimataifa.mwanza una 2.8 kms

ndugu uwanja wa mwanza una urefu wa ft 10830 sawa na km 3.3 au mita 3300, kuna ujenzi ambao utaanza hivi karibuni kuongeza mita 500 zaidi hivyo utakuwa na jumla ya mita 3800 utakapokamilika. Kumbuka uwanja wa ndege mbeya umejengwa kwa gharama isiyopungua 15b tshs, uwanja wa mwanza utajengwa kwa 105b tshs, kwa hiyo wakati mwanza watakuwa wanasema byebye vibanda kwenye uwanja wa ndege nyie mbeya mnakaribisha vibanda.
angalia kisumu international aiport ilivyojengwa au zanzibar ndio utajua kwa upande wa passenger lounge mmeliwa
 
Zebra zinapakwa mwanzo wa uwanja na zinasaidia kujua uwanja unaanzia wapi au sehemu ya ndege kutua kwa kukanyaga matairi kwenye Runway.....

Control Tower haiwezi kuwa ndefu sana kwa sababu si sheria kwenye viwanja vya ndege. Pia si uwanja mkubwa wenye Terminals nyingi kiasi kwamba watake kuona terminal nyingi kwa mpigo.....
Kiwango bado,au kazi kubwa bado? Fire haiko sawa kabisa,Control tower ni fupi mno, runway haieleweki bado.Zile zebra zimepakwa wapi?Mbona imechukua muda mrefu kumalizika au kuna kitu nyuma ya pazia?Mwongoza ndege anatia huruma.
 
kumbe wanyakyusa kumtandika mawe baba Riz imesaidia,japo kuna kausanii kwenye thamani ya uwanja kimaandishi na hali halisi...
 
Huu uwanja kwanza NI MCHAFU sana.

Wameshindwa hata kuondoa hiyo mimashine mibovu huko nyuma na kuiweka mbali kabisa na watu wanapoingia Airport.

Pia jamani, hata vimauwa kidogo kuvipanda? Hata wangelipanda nyanya na mwishoni wazile au kabeji bado zingelipendeza.
Yaani pamekaa PEUPEE utafikiri mijitu haijatembea kwenye Airport nyingine za wenzetu na kuona nyinsi zilizopambwa na MAUWA MAZURI YAPENDEZA, ukiyatazama, yanameremeta, Mauwa mazuri yapendeza (Haka kawimbo wamekasahau).

Haya majengo ni nyumba za kuishi kwa sasa ndiyo popolar Facade kwenye majengo mengi ya kuishi duniani.

DSC00642.JPG


Hebu ona uwanja wa Kigali Airport.....
kigali-airport.jpg
 
ndugu uwanja wa mwanza una urefu wa ft 10830 sawa na km 3.3 au mita 3300, kuna ujenzi ambao utaanza hivi karibuni kuongeza mita 500 zaidi hivyo utakuwa na jumla ya mita 3800 utakapokamilika. Kumbuka uwanja wa ndege mbeya umejengwa kwa gharama isiyopungua 15b tshs, uwanja wa mwanza utajengwa kwa 105b tshs, kwa hiyo wakati mwanza watakuwa wanasema byebye vibanda kwenye uwanja wa ndege nyie mbeya mnakaribisha vibanda.
angalia kisumu international aiport ilivyojengwa au zanzibar ndio utajua kwa upande wa passenger lounge mmeliwa

ni 100Bill
 
Hamna kitu kama hicho. Ni matunda ya Prof. Mandosya aka Baba fulani wakati alipokuwa Waziri wa Ujenzi.

Nashangaa hata hawajamwalika maana huu mwanzo walikuwa wanauita Uwanja wa Mwandosya.

Mwakyembe kama kawaida yake anakuja kuvuna MISIFA ya wenzake.......
kumbe wanyakyusa kumtandika mawe baba Riz imesaidia,japo kuna kausanii kwenye thamani ya uwanja kimaandishi na hali halisi...
 
Back
Top Bottom