Kufungwa office za CHADEMA West Njombe

Kufungwa office za CHADEMA West Njombe

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
2,255
Reaction score
1,565
JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI KULIKUWA NA HUYU MLEZI WA CHADEMA BWANA THOMAS SIMON NYIMBO,IMEKUWAJE NA KUAMUA KUFUNGA OFFICE ZOTE ZA CHADEMA ALIZOZIFUNGUA KATIKA JIMBO LA WEST NJOMBE?:violin:
 
Nduguyangu ukombozi si kazi rahisi ni safari ndefu yenyemilima na mabonde
 
"Tumegundua wengi wanaojiunga Chadema kutokea ccm wakati wa uchaguzi ni mamluki!''
KAULI YA MH FREEMAN MBOWE,
nyimbo bila ya shaka ni mmoja wapo
 
Very childish anafikiri bila yeye wananchi wa Njombe hawatakombolewa? Hii ni kuwatusi wananch wa Njombe kwamba walikua wanamfuata tu kama makondoo wasiojua wanachotaka, na kwamba watakuwa wanfanya kile anachowaambia wako kwa kuwa ni mabongo lala, hawa ndio viongozi masultani ambao hawafai hata kupewa heshima ya uzee mashuhuri, ndio maana hata huko cCM alilshindana na wenzake
 
Kakosea sana kufunga ofc alizofungua kama ameamua kukaa pembeni basi angefanya hivo lkn ofc aziwache wanaopenda waendeleee
 
dah inaboa sana kwa ustawi wa nchi...ila ukombozi ni safari yenye mambo mazito sana.......
 
Anaweza kufunga ofisi lakini hawezi kufunga mioyo ya watu.
 
Duh kweli kali mno hii, tusubiri mtanange na njombe kaskazini sijui atagombea nani kwa chadema 2015 nasikia kuna kijana wakili wa makambako pale anajinoa...kazi kwelikweli
 
Kuna haja ya CDM kujiimarisha zaidi katika ngazi za chini.
 
nawaandamane nchi nzima kumtaka huyo jamaa afungue ofisi.ukiwauliza watakuambia tatizo ni ccm.

Wewe ngoja utasikia sasa hivi Mnyika anatoa Tamko kuwa Usalama wa Taifa wamefunga ofisi za Chadema Njombe.
 
Wewe ngoja utasikia sasa hivi Mnyika anatoa Tamko kuwa Usalama wa Taifa wamefunga ofisi za Chadema Njombe.

We ritz hakuna siku hata moja bila kuisema Chadema husikii raha?
 
Mleta uzi funguka zaidi,amefungaje huyo song zile ofice? Kafunga makufuri au?
 
Mwisho wa Nyimbo utakuwa wa kusikitisha sana kwa sababu ana zaidi ya frustration. huyu atakuja kujitia kitanzi mwenyewe kwani haoni mwanga bali giza katika kila kitu.
Sahihi kabisa, na kitendo alichofanya kinaonyesha frustration hatofautiani walichofanya wabunge wa ccm Masha,mama Mbega na yule wa mbeya mjini kuondoa samani ofcn. Shame!
 
Ni heri kukosa ofisi kuliko kuwa na ofisi yenye nyoka waliojivika ngozi ya cdm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom