Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Bukombe ambae pia ni naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ameibuka kidedea
kwenye Kura za Maoni ndani ya Jimbo hilo kwa Ushindi wa kura za ndio 7441, akishinda kwa...
Hongera sana Mhe. Maboto kwa kuongoza kura za maoni ya CCM Bunda Mjini. Sasa haki itendeke. Tusije tukaona mtoto wa Wassira akiteuliwa kuja kugombea Jimbo la Bunda mjini. Nasisitiza tena. haki...
Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025
Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini.
Wajumbe wa Chama Cha...
Wajumbe siyo Watu kwa kweli japo JM safari yake iliisha mapema zaidi
Sasa watakuwa kioo sahihi cha Mifumo Kazi nje ya box 📦
Kuna maisha baada ya Ubunge
Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa UMMA(CHAUMMA)zamani CHADEMA Mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini
Madoga amechukua fomu hiyo Leo Agost 4,2025...
Hii dhambi ya kikatili inayofanywa na baadhi ya viongozi na jeshi la polisi kutetea wahuni ni moral decay ya hali ya juu. Mnataka ku-justify mateso, unyanyasaji na harassment ya raia huku...
Mpaka sasa idadi kubwa ya wabunge waliopitishwa na wajumbe CCM kuwa wabunge 2025-2030 ni walewale waliokuwa wanakubalika au waliopitishwa na Magufuli kuwa wabunge mwaka 2020, mabadiliko ni madogo...
Waziri Kombo apokea na kuanzisha Kifimbo cha Mbio za Mfalme wa Uingereza
Katika Viwanja vya Michezo vya Jakaya Mrisho Kikwete, Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo...
Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) akiomba kura kwa wajumbe wa CCM katika kata ya Kitisi amesema kuwa endapo akipata ridhaa kwa mara nyingine ya kuwa...
Wakuu,
Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi
Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu...
Pia soma - Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
MAJIMBO YA MKOA WA MTWARA
(i) Jimbo la Mtwara Mjini
(1) Ndugu Joel Arthur NANAUKA
(2) Ndugu Judith Martin NGULI
(3) Ndugu Mtenga...
Here we go !
Tunahitaji viongozi wanofikika wasomi na ambao Elimu yao haina utata.
Asanteni wanaSikonge kwa kumpuunzisha Bwana Joseph Kakunda.
Cc Pascal Mayalla.
Kwanza wizara ya elimu inapaswa ijishughulishe na maswala ya elimu ya msingi, secondary na taaluma za kielimu kama vyuo vya elimu na vyuo vya kati.
Elimu ya juu inapaswa kusimamiwa na taasisi ya...
Uchaguzi wa ndani CCM unaenda vizuri.
Bado tunasubiri kuona Uchaguzi ndani ya vyama vingine.
Lakini tunasikitika kuhusu Chadema kwamba haitakuwa katika Uchaguzi Mkuu.
Judges 21:6
Today Israel has...
Kuna uvunjwaji mkubwa wa Katiba unaendelea.
Rais anaendelea kutekeleza Majukumu ya Urais baada ya Bunge kuvunjwa. Hii sio sawa. Walinzi wa Katiba chukueni hatua
Festo Richard Sanga ambaye anatetea nafasi yake amepata kura 4,104 akimshinda Dr.Toba Nguvila aliyepata kura 2,359 na kufuatia na mfanyabiashara Award Mpandilla aliyepata kura 946.Wengine ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.