Jimbo la Kwimba uyu dogo nguvu anatoa wapi?

Jimbo la Kwimba uyu dogo nguvu anatoa wapi?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,922
Reaction score
11,314
Amekuwa akiletewa Zengwe na wenzake wagombea kuwa anamwaga sana pesa (ruswa)
Kiasi cha kukoswa koswa kukamatwa mara kadhaa.

Je uyu bwana mdogo COSMAS BULALA ni nani na pesa ya takrima kwa wajumbe anaitoa wapi?
20250804_091650.jpg
 
Back
Top Bottom