DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,294
- 83,131
nilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu.
Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili
Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini Kama hawakutaki ,hawakutaki.