KATIBU Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana amekerwa na chokochoko za kidini zilizoanza kujipenyeza hivi karibuhi na kutoa wito kwa madhehebu ya dini na taasisi zake hapa nchini,kuendelea kuhubiri amani kwa kuliombea taifa , ili wananchi waendelee kujivunia amani iliyoachwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.
source-Gazeti la mwanainchi.
My take. Hizi chokochoko za kidini Mh. Kinana ni mojawapo aliyeziasisi, wakati akiwa ni kampeni meneja wa Rais Mkapa enzi zile alisikika akisema chama cha CHADEMA ni chama cha Kidini, ni chama cha wakristu wakatoliki mbali ya kuwa ni chama halali kilichosajiliwa na msajili, sifa ya chama kusajiliwa na msajili wa vyama ni chama kisiwe cha kidini, kikabila kiwe kote bara na visiwani.
Haya sasa wapanda mchongoma kushuka ndio ngoma.