PICHA: Mikutano ya kupinga gesi yaendelea

PICHA: Mikutano ya kupinga gesi yaendelea

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
725
Reaction score
178
Mikutano ya kupinga gesi kwenda Dar yaendelea maeneo ya Bima mjini Mtwara

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • Gesi1.jpg
    Gesi1.jpg
    89.8 KB · Views: 830
  • Gesi2.jpg
    Gesi2.jpg
    82.9 KB · Views: 872
Ni kweli na mimi nipo viwanja vya Bima Mkutano Ni mkubwa wananchi wameitikia kwa wingi na hoja zinazotolewa ni nzito wanadai hata Naibu waziri wa Nishati na madini asubuhi amepotosha aliposema Gesi ya mtwara ni ndogo sana je?hiyo nyingi iko wapi wanataka maendeleo kwanza sio porojo za siasa.Nitaendelea kuleta mengi zaidi
 
Aiseeeeee babayangu wananchi wa ntwara sisi watu wa rombo 2nawaunnga nkono mchikubali chawa,piganieni haki yenu
 
Jaman tusitake kupotosha umma kuwa wana mtwara hawataki gas kwenda dar wanachotaka wanufaike na gas hiyo kama ni kiwanda cha gas kijengwe mtwara na gas iende dar ikiwa imeishatengenezwa sio kwenda kama malighafi.
 
Baaaaaaaaaah
Duuu ntu wangu watu wa ntwara wamea amua!
 
Chezea CDM wewe! Ukisikia mahali imepita ujue kuna ubadilishwa dini toka u-CCM hado u-CHADEMA.
 
Mikutano hyo inaleta mgawanyiko wa kiwilaya na mkoa katika tanzania hii! Eti kisa gesi iko mtwara isifike dar! Kimsingi nachoweza washauri ni kwamba wanganganie viwada vijenge kwa cyo kukataa juhud za maedeleo ya nchi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ahsante African Elephant kwa kufafanua,ukweli ni kwamba Wanamtwara wako tyr gesi iende kokote lkn kwa masharti kwamba kiwanda cha kuprocess gesi hyo bs kijengwe kwao bdl ya Dar ili kutoa fursa za ajira,ila watu wachache wanajaribu kutugawa kwa kutuaminisha kwamba watu wa Mtwara ni wabinafsi
 
komaeni wana mtwara.. kitaeleweka tuu! serikali ishaweweseka... nguvu kidogo tu bhaasi gesi haiendi popote, mtauza processed product sio raw material kama serikali inavyotaka.
kila siku tunapinga export ya raw materials na tunahamasishwa tuziprocess ili kuziongezea thamani bidhaa zetu kwa faida zaidi. serikali inabidi idhihirishe hilo neno kivitendo zaidi kwa kuanzia na hii issue ya mtwara. Charity starts from home! alaa!
 
Nanyi watu wa Mtwara mmetuchosha!. Gas Gas, kwani uchumi wenu huko ni gas tu? Mkiachiwa kama mnavyodai, mtaweza kuimanage hiyo gas hadi ilete matokeo sahihi? Mbona watu wenyewe maneno mengi lakini juhudi za kutafuta maarifa ya maendeleo habaaa? Waaaii! Mie nimejichokea mwaya.

Na kama kuna chama, idara ama mtu yeyote anatengeneza umaarufu kwa kubrain wash watu kama hawa, anatengeneza mazingira magumu hata kwake akipewa utawala.

Ikumbukwe kwamba umaskini wa wa Tanzania unauhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa upper stairs. Ndiyo maana wanachagua ccm kila wakati huku wana vidonda vinavyooza katika maisha ambavyo vimesababishwa ha hao hao ccm, na wala hata bandage na dawa za kutibia hawapewi.

Tatizo ni ule uwezo wa upper stairs ndio unawafanya waichague ccm huku wakiugulia maumivu yake.


Wanasiasa wetu mnapaswa kuliona hili na mjue kwamba kutoa hamasa bila elimu inayojengwa msingi wa uelewa na kuchanganua na ku reason, mjue kwamba hawa watu watakariri hayo hayo. Na watakariri kwamba njia sahihi ya kupata haki ama maendeleo ni vurugu. Na kwamba ni lazima wapate haki hata bila kuangalia upande wa nyajibu na michakato ya maendeleo.

Watakapo wapa fursa ya uongozi, watategemea kila kitu kishuke bila mchakato, bila juhudi zao binafsi na hawataangalia suala la uwajibikaji. Na kwaa kuwa watakuwa wamekuwa wa hivyo, itakuwa ni vigumu sana kwao kufuata mipango na hatua zake ambazo mara

nyingine huhitaji subira na muda. Hivo watu hii wataanza kufanya fujo wakijua ndiyo njia ya kuspeed up upatikanaji wa matakwa yao. ccm nao kwa kuwa ni makamanda wa hila, wataanza kuweachochea. Sasa pamoja na umaskini wa
mali, ujinga na matatizo kibao ya watz, kutaongezeka ile kitu naitwa furugu.

MIMI NAOMBA WADAU WOTE WA MAENDELEO TUTOE ELIMU YA MAENDELEO KWA WATU WOTE ILI WAJUE, PAMOJA NA KUDAI HAKI, LAKINI PIA WAJUE KUNA WAJIBU WAO. PIA MAENDELEO NI MCHAKATO UNAOHITAJI USHIRIKIANO, UTASHI, UPENDO, JUHUDI NA MAARIFA.


 
Inaonekana huu ni ukumbi wa CHADEMA na KANISA KATOLIKI.

Na wewe hutaki, eti? Yaani kama watu wa Mtwara ni CHADEMA na KANISA KATOLIKI itakuwa ni ushindi bab kubwa. Nchi hii ina watu wa ajabu kweli. wananchi wakidai haki zao, basi ni mkono wa CHADEMA. Hii kitu nimeipenda sana. Inaonyesha ni jinsi gani M4C ilivyo penya kwenye mioyo na akili za watanzania.

Na mtachanganyikiwa sana miaka hii. Maana ndiyo kwanza mambo yameanza na mguu mbaya kwa serikali ya MAGAMBA. Mlidhani watu wa kusini ni mazezeta daima. M4C imeamsha watu na kila mwananchi anahoji kile asicho kielewa kwa serikali hii ya kibabashaji.
 
Back
Top Bottom