Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri ya nishati na madini Prof Sospeter Muhongo, ameeleza kushangazwa kwake na maandamano ya kuzuia gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam na kufafanua kuwa gesi nyingi haikO Mtwara...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Written by Ashakh (Kiongozi) // 07/01/2013 // Habari // 3 Comments Said Bakhresa na Rais wa Zanzibar Dr Shein Eneo la bandari ya Malindi alilokabidhiwa Bakhresa Kitambo kulikuwa na...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
kuna kauri za viongozi ambazo zinautata.jk siwajui dowans,siwajui walio ileta na sinahaja ya kuwafahamu.pinda mafisadi wananguvu bora twende nao polepole. membe,nitawataja walioficha fedha nje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na sakata la gesi iliyogunduliwa Mtwara kutaka kusafirishwa kutoka Mtwara kwenda Dar wakazi wa mkoa wa Kigoma wamewaunga mkono wanamtwara kwa kuwaomba wasirudi nyuma katika rasilimali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Nawakaribisha kutazama vipindi maalum vya Wajibu wa Asasi za Kijamii kuelekea kwenye Katiba Mpya. Vipindi hivyo vinaanza leo Alhamisi na Kesho Ijumaa kwenye ITV saa 1:00-1:30 jioni...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi hawa wa Tanzania wenzetu toka mikoa ya Lindi watu wa Lindi na Mtwara walifanya sacrifice zipi kabla, wakati baada ya Mkoloni? Je kisiasa, Kitamaduni (zaidi ya Tinga Tinga) na Kiuchumi (zaidi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JUMATATU, JANUARI 07, 2013 04:45 NA MWANDISHI WETU, SERENGETI ASKARI polisi wawili na raia mmoja wa Wilaya ya Biharamlo mkoani Kagera, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani hapa, baada ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV mwanasiasa wa ccm akilalamika kuwa wapinzani siku zote kazi yao ni kubeza kila kinachofanywa na serikali. Sishani kama yupo sahihi na labda haelewi ni...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Kwa Mujibu wa Katiba yetu 5.4 Kukoma kwa UanaChama 5.4.1 Kwa kujiuzulu mwenyewe kwa hiari yake. 5.4.2 Kutokana na kufariki. 5.4.3 Kuachishwa ama kufukuzwa na tawi lake ama ngazi nyingine ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkoa wa ruvuma mbana tumeachwa na uongozi wa juu ? Katika mikoa mingine mara nyingi vikao vya vyama mbalimbali hufanyika lakini huku songea kulikoni?mabadiliko mnayoyapanga yapaswa haegemee zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema hakuwahi kupata usingizi baada ya kukabidhiwa jukumu la ukaguzi wa wizi wa fedha kutoka kwenye Akaunti ya Malipo ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, kuna kitu kina nisumbua sana ubongo wangu, kwa jinsi jamii ya Kitanzania inavyo penda ushirikina,uchawi, uzushi, mahoka, kupiga bao,wepesiwepesi wa mambo. Ukitaka kuamini nisemayo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wana JF mliopo Mtwara tafadhali sana tujuzeni kinachoendelea ndani ya kikao cha CCM Mkoa kuhusu gesi. Uamuzi wa leo unaweza kutoa picha ya hatima ya CCM kitaifa!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Napenda kutoa ushauri kwa CHADEMA wasifanye makosa yaliyofanywa na TANU kuona kwamba kila atakayekuwa na mawazo tofauti na uongozi basi huyo aliitwa kibaraka na kufukuzwa chamani...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana JF, salaam Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Muungano wa mkatabaWritten by Foum // 07/01/2013 // Habari // 4 Comments Kwa nini mfumo huu? Moja kati ya malalamiko makubwa hasa kwa upande wa visiwani juu ya mfumo wa muungano wa sasa ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa ni wakati wa Chakula cha Mchana akiwa na Makamanda wengine Arumeru magaribi kijiji cha Manyire! Tuliichakaza CCM kijiji cha Manyire!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu baada ya kutafakari sana jinsi ya mbinu za CCM nikamua kuja na wazo hili.vijana wa CCM na wajumbe sasa wanapita kila nyumba kuvutia vijana wajiunge na chama chao kwamba...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Malecela akoleza moto sakata la gesiWAZIRI Mkuu Mstaafu na Mwanasiasa Mkongwe nchini, John Malecela, ametoa wosia kuhusu mgogoro wa gesi akiiomba Serikali kufanya kila iwezalo ili kuhakikisha kuwa...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
inashangaza sana tena sana ..jiji la Dar es salaam kuwa chafu ama niseme linaongoza kwa uchafu...bila shaka wakazi wa hapa mnashuhudia mitaa ilivo michafu na tabia ya sasa ambayo ni sugu ya...
1 Reactions
0 Replies
663 Views
Back
Top Bottom