Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) Hawa Ghasia
"Ndugu zangu kabla ya leo kuja hapa, tulikuwa katika kikao cha kutafuta muafaka wa jambo hilo, ambacho...
Mwigulu Nchemba hana credibility yeyote ya kuwa kiongozi wa kitu chochote Tanzania.
Namba moja:
Amehusishwa na kupanga njama za kutumia wahuni kuleta fujo kwenye mikutano ya hadhara ya CDM mjini...
Siku kama nne zilizopita magazeti yaliandika habari kuhusu hawa vijana wa UVCCM kahama kuandamana ili watumishi wababaishaji wa halmashauri ya wilaya kahama wang'oke,,hilo nililiona ni wazo zuri...
Tanzania ni nchi yenye siasa za ajabu sana, hasa linapokuja nani awe kiongozi wa Taifa hili. Yametajwa majina mbali mbali hasa kwenye vya vikuu vya siasa CDM na CCM. Tumesikia Lowasa, Membe...
Wanachama 335 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kilwa Kaskazini, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF).
Wanachama hao wamedai kuwa wamelazimika kuchukua hatua...
FRIDAY, JANUARY 04, 2013
KUWATUMIA WATAALAMU WA KITANZANIA WALIOKO UGHAIBUNI (DIASPORA) NA NDANI YA NCHI KUJENGA UWEZO NA UFANISI WA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MUHIMU ZA SERIKALI
Serikali ya...
Kuna hii dhana ya Mwalimu ya kuwa..... kutona na maneno ya Mzee Butiku waasisiwa Taifa walifanyakazi ambayo inaonekana katika maeneo ya uhuru, elimu,maliasili na nyanja nyingine na ndiyo maana...
Gesi Mtwara: Kikwete apingwa
Na Waandishi Wetu
Mwananchi
Posted Jumapili,Januari6 2013 saa 13:25 PM
Kwa ufupi
VYAMA VYASEMA KWA NAMNA YOYOTE ILE GESI HAIONDOKI MTWARA...
Tetesi zilizo zagaa ;
Mr. Emmanuel Ole Naiko, the Executive Director of the Tanzania Investment Centre (TIC)
NDO ANATEGEMEWA KUWA MRITHI WA MH. LOWASA
dalili za wazi zimeanza kuonekana Monduli...
Tutaendelea kumkumbuka sana mheshimiwa Lowassa kwa sababu ameleta sana maendeleo katika nchi yetu hasa katika jamii maskini kama jimbo lake la monduli hii inatokana kwa kauli mbiu yake ya elimu...
Ndg wana JF je? Ni kweli chama cha mapinduzi kitaendelea kudumu kweli kikiwa kimepitia mikononi mwa makada kama hawa? Nape kukicha anaibuka na kauli tata ambazo si za kuimarisha chama hata kidogo...
Itakumbukwa kuwa CCP Moshi walipokea tuite makuruta ambao hawakustahili kupokelewa na matokeo yake wakarudishwa. Je hili kashfa iliishia wapi au ndio Bongo piga kelele baada ya siku tatu kimya...
Wanajamvi kwa takribani mwaka sasa na kupita tunaona nakusikia pamoja na kusoma kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari kuhusu kuwepo migogoro katika chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Wala sishangai wananchi wa Mtwara wakilalamika kuhusu gas iliyogundiliwa kusafirishwa kuja Dar huku serikali ikisingizia upinzani ndo matatizo ya kila kitu kuendesha kwa kisiasa baada ya kitaalamu...
Alisema dhambi ni sawa na kula nyama ya mtu ambayo ukianza hutaacha.
Pia alikemea udini, ukabila na ukanda. Na alihubiri umoja na Mshikamano.
Kumbuka kauli ya wanzanzibara na Wazanzibar. Itafka...
Wanajamvi kwa takribani mwaka sasa na kupita tunaona nakusikia pamoja na kusoma kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari kuhusu kuwepo migogoro katika chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Nimetafakari kwa mda sana huu unaotajwa kuwa mgogoro ndani ya CHADEMA, na hasa Bavicha. Lakini kinachonipa shida mm ni wapinzani wa upinzani ndani ya chama. Ifahamike kwamba migogoro hasa ya...
Leo naleta mada inayo husu Mustakabali wa Zanzibar..ambapo mimi baada ya muda mrefu kuona makelele ya uamsho, mkataba,tupumue,serikali 3, ama 2 makelele ya mapinduzi daima, serikali mseto au ya...
Wana JF
January Y. Makamba ni mbunge wa Bumbuli - Tanga na Deo Filikunjombe ni mbunge wa Ludewa - sasa iko mkoa wa Njombe.
Wote walipita bila kupingwa katika majimbo yao. January ni naibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.