Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku nne tano Hizi nimekuwa nikishangaa sana malumbano ya kikatuni sana Kwenye majukwaa ya Kijamii, magazetini na hasa kwenye vinywa vya wachafuzi wa siasaeti Huyu ana kadi ya CCM, Huyu hana kadi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kadri ya siku zinavyo kwenda na siasa inavyo kua naona kama dhana ya serikali inanichanganya, nasema hivi kwasababu kuna maneno mawili yanayo nichanganya, Mosi serikali ya Jamuhuri ya Muungano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajanvi heshima kwenu wakuu !! Kwa mda mrefu sasa nilikuwa nikijiuliza swali moja pasipo kupata majibu, napo waona badhi ya vijana wa kitanzania wakionyesha hisia zao hadharani juu ya mapenzi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi nikienda vijijini napata kazi kubwa sana ya kuelimisha watu kuwa CCM imechoka tunahitaji chama kingine kushika dora 2015 hususani chama makini CHADEMA. Najua napata shida kwasababu wazee...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Mbunge wa Arusha mjini jana aliwasili katka ofisi yake baada mahakama kumrejeshea ubunge wake Lema akiongea na wandishi wa habari alisema atamtambua meya hadi hapo atakapo chaguliwa kisheria...
4 Reactions
92 Replies
7K Views
MAONI YA CUF, CCM NA CHADEMA KWA CRC Haya ni maoni kwa uchache kwa mujibu wa vyombo vya habari vya the Guardian na Mwananchi: CHADEMA: >> mfumo wa shirikisho wa serikali tatu. Chadema...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Karibuni sana wanachama wa JF katika dondoo hii!!!!:israel: kwa mtazamo wangu sioni umuhimu wa kutoa gesi mtwara na kupeleka bagamoyo kwa sababu tu Dar-es-salaam inatoa asilimia kubwa ya mapato...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Closed
HABARI. UFAFANUZI WA UPOTOSHAJI. kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipigiwa simu na kutumiwa MESEJI kuulizwa juu ya habari za kuvuliwa kwangu uanachama wa BAVICHA na CHADEMA. jimboni kwangu KIBAHA...
17 Reactions
343 Replies
26K Views
Vikao hivi kuwa siri na waandishi wa habari kutoruhusiwa uenda kuna ajenda ya siri. Na waandishi kutoruhusiwa chakushangaza Gazeti la serikali HABARI LEO linakuja na vichwa vya habari. CHADEMA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za weekend Watanzania wenzangu! Leo naomba tujadili siri ya vyombo vya habari na CCM. Kwa uchunguzi usio rasmi nilioufanya mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamani samahani hayo ni maneno yake mwenyewe baada ya hukumu ya kesi kutolewa
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wanabodi! Kumekuwa na hali ya kushuka kwa matumaini ya amani nchini.Tumeshuhudia mauaji ya mwandishi wa habari,wananchi kuchoma vituo vya polisi na vita baridi ya kidini lakini hakuna...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
na Asha Bani WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, ametofautiana na Waziri mwenzake wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Thereza Huviza, akipinga hatua yake ya kuzifungia...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
THIS IS OBTAINED FROM MH. ZITTO KABWE FB WALL. TAWALA ZA MAJIMBO NA SERIKALI ZA MITAA 1. Nchi ya Tanganyika itagawanywa katika maeneo kumi ya kikanda yatakayojulikana kama Majimbo kama...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
07 JANUARY 2013 Na Yusuph Mussa, Handeni MBUNGE wa Handeni, mkoani Tanga, Dkt. Abdallah Kigoda, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kipo katika hali mbaya kiuchumi mkoani humo, hivyo jitihada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu wote heshima mbele Naomba mtu mwenye access na January Makamba au TCRA asaidie kuuliza juu ya mkonga wa Taifa. Ni nyimbi ziliimbwa tukaona tutaona faida lakini nimeshangaa napiga toka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dear Mwalimu Nyerere, Tangu ututoke hapa nchini hali Imebadilika sana: Kwanza siku hizi Ziwa Nyasa liko nchini Malawi, mlima Kilimanjaro uko Kenya na wachaga wote ni watu wa Kenya, Tanzanite...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MV Musa ndio ukombozi wa usarriji kando ya Ziwa Nyasa Mkoa mpya wa Njombe kama ilivyonaswa na mpiga picha Hutumia maji ya ziwa hata kufulia jambo ambayo elimu ya uchafuzi wa ziwa na mazingira...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanabodi heshima kwenu, Kinachowakera watanzania ni matumizi ya rasilimali zao zisivyowanufaisha wengi bali wachache na wawekezaji. Maeneo mengi zinavunwa wananchi wamekaa kimya.Mtwara...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wana bodi kutokana na mambo mengi ambayo yamkini kila mwanaharakati amekuwa akiyaona yakifanywa na ndugu huyu mengi yakiwa na mtizamo hasi na chama napendekeza ipigwe kura ya maoni iwapo huyu...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom