Sacrifice ya wana Lindi/ Mtwara kwa Tanzania

Sacrifice ya wana Lindi/ Mtwara kwa Tanzania

SWAZI

Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
87
Reaction score
19
630px-Tanzania_Mtwara_location_map.svg.png



Hivi hawa wa Tanzania wenzetu toka mikoa ya Lindi watu wa Lindi na Mtwara walifanya sacrifice zipi kabla, wakati baada ya Mkoloni?

Je kisiasa, Kitamaduni (zaidi ya Tinga Tinga) na Kiuchumi (zaidi ya Korosho, Gesi na Mafuta....SAGCOT, Mtwara corridor) kuna kitu gani zaidi ambacho hawa wenzetu wame changia na ku sacrifice?

Je wanasiasa wa Mtwara na Lindi wana haiba za namna gani? Je ni wapenda maendeleo au wapiga domo au wana chukiana?

Je ki elimu huko LIndi na Mtwara wana Universities ngapi? Je wasomi wa huko maarufu ni akina nani? Je wanazo development plans za kueleweka?

Kibinadamu je watu wa mikoa ya huko ni watu wa namna gani? habiba zao etc?

Je hiii style ya kuandamana wameipata wapi kama walikuwa hawana? Inawezekana wako influenced na watu wa Mikoa ya Kilimanjaro, Mbeya, na Iringa au bas tuu kwa sababu wana fight for their right?
 
Back
Top Bottom