Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nairobi, Kenya January 08, 2013 CCM not among Cord parties, says Koigi CCM party leader Koigi wa Wamwere on Monday clarified that his party has not signed any document of intent to join or...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
With all the riots at Mtwara, is it not time we excercised the majimbo political style. To the best of my knowledge the country is scattered with all the riches in natural resources and through...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Habarini wana JF! Napenda kuwasilisha dukuduku langu hasa kwa kauli ambazo viongozi wetu wamekuwa wakizitoa hasa wanapokuwa kwenye ziara za kuboresha maendeleo kwenye maeneo mbalimbali ya nchi...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
NAPENDA KUTOA MAELEZO MAFUPI KUHUSU HABARI ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA TANZANIA DAIMA JANA: Mimi Jackson Wilson Makala sijasimamishwa uanachama na Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) kama...
17 Reactions
50 Replies
5K Views
Wananchi wakivuka kwa taabu sehemu ambako daraja la bonde la Mbutu wilayani Igunga, linajengwa na kuondoa kabisa tatizo hilo mwaka huu ambapo ujenzi huo unaofanywa na muungano wa makandarasi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yupo sasa hivi live akianza na historia yake ikiwa ni pamoja na ukweli wa uraia wake. Mfuatilie fm 98.1 Wakuu namsikiliza Prof. Lipumba sasa hivi kupitia WAPO Radio. Anasema alikuwa mwanachama wa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
NIANZIE NA MIMI MWENYE KAMA MHANDISI KUNA MALALAMIKO MENGI TOKA KWENYE JAMII INAYO TUZUNGUKA KWAMBA WENGI WETU TUMEKUWA TUKIFANYA KAZI KWA MAZOEA BILA KUJISHUGHULISHA SANA AKILI ZETU HILI LINA...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Diwani wa Kata ya Ngulumungu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Claud Masingija,ameingia matatani baada ya kushusha na kuchana bendera ya Chama cha...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MADAI YA WANAMTWARA KUSHINIKIZA KUCHAKATWA KWA GESI KATIKA MJI WA MTWARA NA KUTOSAFIRISHA GESI GAFI KWA BOMBA KWENDA DAR ES SALAM. TAREHE 07-01-2013. Ndugu...
14 Reactions
30 Replies
4K Views
Wanabodi naomba kujilishwa maendeleo ya kesi za Igunga na Sumbawanga zitasikilizwa lini. Aidha kwa mujibu wa taratibu ni lini Chaguzi ndogo za madiwani zinatakiwa kufanyika. Vipi ule mgogoro wa...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Sakata la kuzama kwa boti ya mv Yarabi Tunusuri kata ziwa tanganyika limechukua sura mpya baada ya mmiliki na nahodha wa boti hiyo wote kufikishwa ktk mahakama ya hakimu mkazi mkoani Kigoma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, kwa kuwa Serikali ya CCM imeonyesha wazi na kwa vitendo kuwa haitaweza tena kuwapa watanzania nchi na maisha wanayotamani kuwa nayo, mwaka 2015 ni wakati wa vijana kuanzia sekondari...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
www.youtube.com/watch?v=PmdmdZiVdCg
0 Reactions
0 Replies
763 Views
GE, a major US conglomerate with interests in aviation, energy, agriculture and finance imefungua ofisi hapo jirani. Safari zote za JK zina manufaa gani kwetu? Mbona Kibaki hasafiri sana na kazi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
SIASA Polisi wakiwa wanamshambulia aliyekuwa mwandishi wa Channel 10,Daudi Mwangosi Na Hakimu Mwafongo, Iringa Posted Jumatatu,Januari7 2013 saa 9:31 AM KWA UFUPI "Tulikaa Iringa...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
RPC wa mkoa wa Kagera Philip Kalangi amewapongeza wananchi walioua maaskari waliokuwa wameiba na kubeba meno ya tembo kwenye gari aina ya Noha. Amesema anawapongeza kwa kuwa ulinzi shupavu na...
7 Reactions
57 Replies
5K Views
Hii haijawah kutokea ila kwa mara yakwanza Rais wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania j. Kikwete atashuhudia upinzani mkali sana ktk serikali yake, maana kila kitu ni mulika mwizi, liwe jema au...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Siyo siri kwamba asilimia kubwa ya Watanzania hasa vijana ni wapenzi na wanaikubali sana CHADEMA. Kwa hali ilivyo sasa hata chama Tawala wameacha kutekeleza Ilani yao na sasa wanajibidiisha...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Dear JF Comrades: The Mtwara resources debate has taken a more politicized twist in my humble opinion. We probably need fewer politicians and more economic minds if we really want to make any...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom