Haya tuliyasema

Haya tuliyasema

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,465
Wana JF, salaam

Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA wanavyojitahidi kukivuruga chama.

Tukaandika hadi maoni ya mhariri kuonya na kuhadharisha, lakini kwa bahati mbaya habari hiyo ilipokewa vibaya sana. Wapo waliodhani kuwa tumetumwa na CCM kuandika hayo tuliyoyaandika.

Lakini yanayoendelea ndani ya CHADEMA, na kilichoandikwa leo na Tanzania Daima, kinathibitisha tulichokiandika. Naomba wana CHADEMA na wapenda mageuzi wote kuwa wavumilivu kwa kusoma habari zinazowahusu kwa sababu kutoka humo watapata jambo la kuwasaidia.

Msimamo wetu ni kuwa na Upinzani imara na usiokuwa na vimelea vya waasi. Juhudi za kuikuza demokrasia nchini ni lazima ziende sambamba na kuambizana ukweli kwa sababu kulijua tatizo ni hatua moja ya kulipatia ufumbuzi.

Manyerere Jackton
Dar es Salaam
 
CDM kimekomaa kuliko unavyoweza kufikiria wewe na wenzako wenye uoga wa mabadiliko. speed ya ukomavu wa wanachama haina budi iendane na speed ya ukomavu wa viongozi ktk kufanya maamuzi magumu na sahihi katika wakati muafaka. na katika ukomavu huu huu utakaoonyeshwa na viongozi katika kufanya maamuzi magumu ndio utadetermine chama kimekomaa kiasi gani ili kikabidhiwe dola by the year 2015.
katika mojawapo ya sredi zangu nimesema cdm haina budi ijitofautishe na ccm katika kufanya maamuzi magumu kwani tumeona jinsi kulindana kulivyoigharimu ccm kisiasa kwa sasa. vile vile nimesema kuwaondoa wanachama wachache wachafu ili kukipurify chama ni njia nzuri ya kukipandisha chama chati mioyoni mwa watanzania.
hii issue ya mapandikizi ikitumiwa vizuri itakiinua chama in a very positive way na manyang'au wataishia kuleta vitisho vya 'oooh mtaua chama' but ukweli utabaki wanaoamua chama kife ni wanachama na sio watu wachache wenye nia mbaya ya kukidhoofisha chama. wanachama tunajua ili chama kiwe madhubuti ni lazima hatua madhubuti na maamuzi magumu yafanyike kudhihirisha ukomavu wake! sio hatua na maamuzi legelege yaliyo dhaifu tukitarajia kujenga chama madhubuti!
 
Mungu akupe miaka mingine 1000 ya kuishi.

Ulitaka chadema wafanye kama ccm wasivyofukuza wahuni/wasaliti?Pole sana.Cdm ni chama cha ukombozi.Cdm songa mbele.Fukuzeni wasaliti wote bila kuogopa Jina wala umaarufu wake.
Wana JF, salaam

Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA wanavyojitahidi kukivuruga chama. Tukaandika hadi maoni ya mhariri kuonya na kuhadharisha, lakini kwa bahati mbaya habari hiyo ilipokewa vibaya sana. Wapo waliodhani kuwa tumetumwa na CCM kuandika hayo tuliyoyaandika. Lakini yanayoendelea ndani ya CHADEMA, na kilichoandikwa leo na Tanzania Daima, kinathibitisha tulichokiandika. Naomba wana CHADEMA na wapenda mageuzi wote kuwa wavumilivu kwa kusoma habari zinazowahusu kwa sababu kutoka humo watapata jambo la kuwasaidia.
Msimamo wetu ni kuwa na Upinzani imara na usiokuwa na vimelea vya waasi. Juhudi za kuikuza demokrasia nchini ni lazima ziende sambamba na kuambizana ukweli kwa sababu kulijua tatizo ni hatua moja ya kulipatia ufumbuzi.

Manyerere Jackton
Dar es Salaam
 
Kwa hii style CCM inawauma sana. Wanapenda kuona migogoro CDm ila hawapendi jinsi inavyomalizwa. Hahaha Imekula kwenu. Na mfadhili wenu keshajulikana kweishaaaa...
 
CDM haiwezi kufa kirahisi kama inavyo fikiriwa na baadh yenu.Binafsi sioni haja ya kubaki na wanafki ndani ya chama kwa sababu itakua ni balaa badae.ukisha mjua adui yako ni mwanzo wa ushindi.
 
Ningeshangaa sana kama chama kinachojiandaa kuchukua dola kingengosa migogoro....hakuna cha ajabu hpo mkuu ..CDM KITADUMU hivi ni vijimambo tuu
 
Wana JF, salaam

Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA wanavyojitahidi kukivuruga chama.

Tukaandika hadi maoni ya mhariri kuonya na kuhadharisha, lakini kwa bahati mbaya habari hiyo ilipokewa vibaya sana. Wapo waliodhani kuwa tumetumwa na CCM kuandika hayo tuliyoyaandika.

Lakini yanayoendelea ndani ya CHADEMA, na kilichoandikwa leo na Tanzania Daima, kinathibitisha tulichokiandika. Naomba wana CHADEMA na wapenda mageuzi wote kuwa wavumilivu kwa kusoma habari zinazowahusu kwa sababu kutoka humo watapata jambo la kuwasaidia.

Msimamo wetu ni kuwa na Upinzani imara na usiokuwa na vimelea vya waasi. Juhudi za kuikuza demokrasia nchini ni lazima ziende sambamba na kuambizana ukweli kwa sababu kulijua tatizo ni hatua moja ya kulipatia ufumbuzi.

Manyerere Jackton
Dar es Salaam

...chumba chako kikiwa kichafu huwezi kuchukua fagio ukafagia uchafu?!!! uchafu uliomo ndani ya CDM usipoondolewa ni hatari zaidi maana hakika CDM itapoteza mvuto na itagawanyika! solution ni kufumba macho na kuondoa masalia yote!
 
CDM kimekomaa kuliko unavyoweza kufikiria wewe na wenzako wenye uoga wa mabadiliko. speed ya ukomavu wa wanachama haina budi iendane na speed ya ukomavu wa viongozi ktk kufanya maamuzi magumu na sahihi katika wakati muafaka. na katika ukomavu huu huu utakaoonyeshwa na viongozi katika kufanya maamuzi magumu ndio utadetermine chama kimekomaa kiasi gani ili kikabidhiwe dola by the year 2015.
katika mojawapo ya sredi zangu nimesema cdm haina budi ijitofautishe na ccm katika kufanya maamuzi magumu kwani tumeona jinsi kulindana kulivyoigharimu ccm kisiasa kwa sasa. vile vile nimesema kuwaondoa wanachama wachache wachafu ili kukipurify chama ni njia nzuri ya kukipandisha chama chati mioyoni mwa watanzania.
hii issue ya mapandikizi ikitumiwa vizuri itakiinua chama in a very positive way na manyang'au wataishia kuleta vitisho vya 'oooh mtaua chama' but ukweli utabaki wanaoamua chama kife ni wanachama na sio watu wachache wenye nia mbaya ya kukidhoofisha chama. wanachama tunajua ili chama kiwe madhubuti ni lazima hatua madhubuti na maamuzi magumu yafanyike kudhihirisha ukomavu wake! sio hatua na maamuzi legelege yaliyo dhaifu tukitarajia kujenga chama madhubuti!

dah yaani mkuu nimesoma mara nne nne ulichokiandika hapa...BIG UP SANA...Niseme kuwa wewe ni moja ya watu wanaohitajika sana kwa jamii hasa yenye watu wanaoona mambo umbali si zaidi ya urefu wa pua zao...safi sana...KEEP IT UP
 
Afadhali umesema
 
Wana JF, salaam

Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA wanavyojitahidi kukivuruga chama.

Tukaandika hadi maoni ya mhariri kuonya na kuhadharisha, lakini kwa bahati mbaya habari hiyo ilipokewa vibaya sana. Wapo waliodhani kuwa tumetumwa na CCM kuandika hayo tuliyoyaandika.

Lakini yanayoendelea ndani ya CHADEMA, na kilichoandikwa leo na Tanzania Daima, kinathibitisha tulichokiandika. Naomba wana CHADEMA na wapenda mageuzi wote kuwa wavumilivu kwa kusoma habari zinazowahusu kwa sababu kutoka humo watapata jambo la kuwasaidia.

Msimamo wetu ni kuwa na Upinzani imara na usiokuwa na vimelea vya waasi. Juhudi za kuikuza demokrasia nchini ni lazima ziende sambamba na kuambizana ukweli kwa sababu kulijua tatizo ni hatua moja ya kulipatia ufumbuzi.

Manyerere Jackton
Dar es Salaam

Huna dhamira yoyote ililyosafi. !. Moyo wako unakusuta. Unafiki wako utaufuta kama utathibitisha nia yako safi ya kuona CDM inakufa. Ukaona kwamba Ccm wanayoshikiana hadi bastola, makundi ya kutisha na wimbi kubwa la kukataliwa na wananchi, na vyama kama cuf, nccr mageuzi, udp nakadhalika vinakomaa.

ACHENI HILA ZENU. KAMA UNAUCHUNGU NA VYAMA VINAVYOKUFA, WASHAURI CCM AMBAO KARIBU WANAFUTIKA KATIKA USO WA TANZANIA!. PLEASE!
 
CDM kimekomaa kuliko unavyoweza kufikiria wewe na wenzako wenye uoga wa mabadiliko. speed ya ukomavu wa wanachama haina budi iendane na speed ya ukomavu wa viongozi ktk kufanya maamuzi magumu na sahihi katika wakati muafaka. na katika ukomavu huu huu utakaoonyeshwa na viongozi katika kufanya maamuzi magumu ndio utadetermine chama kimekomaa kiasi gani ili kikabidhiwe dola by the year 2015.
katika mojawapo ya sredi zangu nimesema cdm haina budi ijitofautishe na ccm katika kufanya maamuzi magumu kwani tumeona jinsi kulindana kulivyoigharimu ccm kisiasa kwa sasa. vile vile nimesema kuwaondoa wanachama wachache wachafu ili kukipurify chama ni njia nzuri ya kukipandisha chama chati mioyoni mwa watanzania.
hii issue ya mapandikizi ikitumiwa vizuri itakiinua chama in a very positive way na manyang'au wataishia kuleta vitisho vya 'oooh mtaua chama' but ukweli utabaki wanaoamua chama kife ni wanachama na sio watu wachache wenye nia mbaya ya kukidhoofisha chama. wanachama tunajua ili chama kiwe madhubuti ni lazima hatua madhubuti na maamuzi magumu yafanyike kudhihirisha ukomavu wake! sio hatua na maamuzi legelege yaliyo dhaifu tukitarajia kujenga chama madhubuti!

Hii nchi itakombolewa na wazalendo wachache wa aina yako" Keep it up"
 
Wana JF, salaam

Wiki kadhaa zilizopita tuliandika habari ya kuhadharisha juu ya kufa kwa CHADEMA. Tuliandika kwa kina namna baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA na jumuiya zake, hasa BAVICHA wanavyojitahidi kukivuruga chama.

Tukaandika hadi maoni ya mhariri kuonya na kuhadharisha, lakini kwa bahati mbaya habari hiyo ilipokewa vibaya sana. Wapo waliodhani kuwa tumetumwa na CCM kuandika hayo tuliyoyaandika.

Lakini yanayoendelea ndani ya CHADEMA, na kilichoandikwa leo na Tanzania Daima, kinathibitisha tulichokiandika. Naomba wana CHADEMA na wapenda mageuzi wote kuwa wavumilivu kwa kusoma habari zinazowahusu kwa sababu kutoka humo watapata jambo la kuwasaidia.

Msimamo wetu ni kuwa na Upinzani imara na usiokuwa na vimelea vya waasi. Juhudi za kuikuza demokrasia nchini ni lazima ziende sambamba na kuambizana ukweli kwa sababu kulijua tatizo ni hatua moja ya kulipatia ufumbuzi.

Manyerere Jackton
Dar es Salaam

Ulichokiandika nakiona si kilicho ndani ya moyo wako,inaonyesha ni jinsi gani unavyoumia kwa CDM
kuwa na maamuzi thabiti na yanayoonyesha ukomavu na kutokulindana,wengi mlitaka waasi waendelee
kukisaliti chama ili kuendelea kugawanyika,lakini hatua iliyofikia mnajua kabisa kuwa ndio mwisho wa
wanafiki na chama kinakwenda kuwa na nguvu mpya ambayo HAMPENDI kuiona.Kupambana na CDM ni
sawa na kupambana na upepo hamtaweza kamwe hicho ni CHANDA cha Mungu"
 
dah yaani mkuu nimesoma mara nne nne ulichokiandika hapa...BIG UP SANA...Niseme kuwa wewe ni moja ya watu wanaohitajika sana kwa jamii hasa yenye watu wanaoona mambo umbali si zaidi ya urefu wa pua zao...safi sana...KEEP IT UP

thanks buddy, pamoja sana! mimi mwenyewe najishangaa kwa jinsi nilivyoflow... kweli cdm kina mungu!
 
Back
Top Bottom