Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sad, a bunch of gorrilla deep in forest where they are found are managing their affairs much better than we do. Good governence has completely eluded us. Recently, a young African man led a...
0 Reactions
6 Replies
922 Views
Wanasiasa wamekaa kimyaa… watendaji kimya… POLISI wako usingizini. Kutokana na kile kilichotokea kwa wanachuo wa IFM waishio Kigamboni na yale yaliyokwisha kutokea wanachuo wa Mwalimu...
3 Reactions
4 Replies
7K Views
Katika hali inayoashiria kupimana ubavu katika jimbo la Mbeya Mjini ambalo mbunge wake ni Joseph Mbilinyi a.k.a. "SUGU" kupitia CHADEMA na Naibu Waziri wa Elimu, Philip Mulugo imezidi kupamba moto...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
  • Closed
Viongozi Na wananchi wapenda Amani Tumepokea Ujumbe na kwa sasa hatuna budi kuuita tetesi kwamba Kile kikao Cha Viongozi wa Juu wa Chama kilichopo madarakani pamoja Na Dola yenye dhamana ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeufananisha mwaka huu kama mtakatifu, kwa wanachama wake kujiandaa na chaguzi za mwaka 2014 na 2015. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
kuna siku niliwahi kuandika juu ya kutoukubali mfumo wa kidemokrasia unaotumika na nchi nyingi duniani katika mfumo wa utawala,wengi waliniponda wachache walinielewa. leo naomba niizungumzie...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Habari zinazoongoza gazeti la habari leo ni kwamba Zitto ndie mtanzania anayepewa nafasi kubwa zaidi kushinda urais 2015 Hili gazeti la wana CCM nimeshangaa kuandika habari hii ila nadhani...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Baada ya watu kumshutumu nape kwamba amekimbia maswali aliyo kuwa akiulizwa na wasikilizaji, sasa ameamua kurudi tena kumalizia kujibu maswali yaliyo baki. Nape alisema hataki kuulizwa maswali...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Paka ukimpa samaki, hata mkavu, humla kuanzia kichwani. Jaribu uone anytime. Jaji Waryoba anaongoza Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Ukubwa wa tatizo la Mungano wa Tanganyika na Zanzibar na ukubwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa Arusha mjini mhe godbless na mbunge wa ubungo Mnyika inasemekana wiki hii wataelekea mtwara kufanya mikutano kwa siku TANO. Ziara hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa retreat ya wabunge...
9 Reactions
130 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi amelazimika kushuka jukwaani baada ya kuwaambia wana Mtwara kuwa gesi itatoka Mtwara. Wana usalama wake iliwabidi wamshushe jukwaani nakuelekea ofisini kwao. Umati wa...
11 Reactions
267 Replies
23K Views
Maalim Seif akutana na waandishi wahabari leo kutoa ufafanuzi juu ya utowaji wake wa maoni kwa katiba mpya aliotoa jana ++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
THERE is an old adage which says; ‘Be careful of what you wish for, because you may get it' The Arusha District Commissioner, Mr John Mongella, who got posted here after the Arusha-Urban...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania tupo katika nchi za Africa mashariki na tupo kwenye ushindani wa kibiashara, kiuchumi na kijamii katika nchi hizi. Wenzetu, Kenya na Uganda wameweka milango wazi kwa watu wa Diaspora. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
- Mheshimiwa Mwenyekiti wa BAVICHA, majuzi umeongea kwa hasira wakati ukiwafukuza uanachama baadhi ya Vijana wadogo huko BAVICHA kwa madai kwamba ni Mamluki, je the facts kwamba wewe mwenyewe...
3 Reactions
124 Replies
7K Views
Vitendo vya wanafunzi wa chuo cha IFM wanaoishi katima hosteli huko Kigamboni, kuvamiwa mara kwa mara , kuibiwa na kufikia hatua ya kufanyiwa vitendo vya kinyama kama vile kubakwa , kulawitiwa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
CLICK HERE TO DOWNLOAD
1 Reactions
39 Replies
38K Views
HUU NDIO UKWELI KUHUSU KAMANDA MALISA NA CHADEMA Katika siku za hivi karibuni kumetokea kundi la wanaCCM ambao wamekuwa wakijiita wanaCHADEMA na kutoa matamko ya kukitukana chama na viongozi...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Na Salma Said, ZANZIBAR WAKATI mjadala juu ya Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukishika kasi na kuzusha mtazamo tofauti Kamati ya Pamoja ya kutatua kero za Muungano imefanya kikao chake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katiba ya CHADEMA inaruhusu kuanzisha tawi dogo la CHADEMA endapo wanachama wafikapo 30 watapatikana, katika JamiiForums naamini kuna wapenzi wa CHADEMA zaidi ya 30 hivyo tunaruhsiwa kuanzisha...
10 Reactions
71 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…