Demokrasia ya Afrika (Tanzania)

Demokrasia ya Afrika (Tanzania)

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
470
Reaction score
125
kuna siku niliwahi kuandika juu ya kutoukubali mfumo wa kidemokrasia unaotumika na nchi nyingi duniani katika mfumo wa utawala,wengi waliniponda wachache walinielewa. leo naomba niizungumzie kdogo kuhusu demokrasia ya Afrka na mifano yangu nitaitoa katika vyama vya siasa vya Tanzania.
kwa Afrika, demokrasia ina maana na umuhimu kwa tabaka tawaliwa, kwa mfano sisi raia wa kawaida tunaipenda demokrasia kwa sababu tunaweza kuisema serikali na kuikosoa kama tunavyotaka lakin serikal yenyewe haipend hiki kitu kwa sasabu demokraia inaiabisha serikali kwa kuivua nguo na kuiacha utupu!
demokrasia kwa Tanzania (Afrika) ina thamani kwa wale walio nje ya system kwa walio ndani ya system ni kero, unakumbuka kuwa Shibuda alitoswa CCM KWA SABABU ALIMPINGA MWENYEKITI WAKE? UNAKUMBUKA ZENGWE LA HAMAD RASHID ALIVYOFUKUZWA BAADA YA KUPINGANA NA KATIBU WAKE? NA SASA JULIANA SHONZA NA WENZAKE WAMETIMULIWA KWA SABABU WAPO KINYUME NA KATIBU MKUU WAO:
CCM is not the democratic party in nature so demokrasia kwao wamelazimishwa japo kwa kiwango kidogo wanajaribu kuivumilia ifanye kazi hivyo hivyo, CUF Ni chama cha kidemokrasia ila hawaafahamu maana ya demokrasia kwa sababu maneno yao na matendo hayaendani, CHADEMA wao ni chama cha demokrasia na demokrasia ndiyo liyowajenga ila demokrasia hyo hyo ndo itakayowabomoa kwa sababu ni waoga sana wa demokrasia ndani ya chama chao mfano mdogo eti mwenyeki wa BAVICHA anasema et Mamuya (sina uhakika kama nmepata jina) hajachukuliwa hatua kwa sababu hakufika kwenye kikao ila Shonza hakufka ila yeye kafukuzwa!!!!!!!!

demokrasia ni kazi kubwa sana na inahitaji moyo kwa nchi maskini kamaTaanzania na sio kila mhubiri wa demokrasia ni mfuasi wa demokrasia!!!!
 
Back
Top Bottom