HABARI
Katibu wa CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad
Na Burhani Yakub, Tanga
Posted Jumatatu,Januari7 2013 saa 22:3 PM
KWA UFUPI
Miraji alisema ni jambo la kushangaza kuona Maalim Seif...
Wadau nimeshtushwa na taarifa kutoka Tanzania Atomic Energy Commission (TAECA) kuwa kuna wakulima wanatumia vumbi la Uranium kuhifadhia mazao ya chakula kama mahindi, maharagwe na nafaka nyingine...
Dubai wameisha onja joto ya jiwe kwa kuingiliwa na wafuasi wa muslim brotherhood. wafuasi hao wamefungua ka kituo chao cha siri na kuanza propaganda za kuchochea jamii kulaani utawala wa dubai...
Viongozi wa CHADEMA na wanachama wake wanatakiwa kupata shamba darasa la kuendesha chama chao kwa misingi ya umoja na nchi na kutoa hisia mbaya za ubaguzi wa kikabila na kikanda. CCM iko tayari...
Alhamisi, Januari 03, 2013 00:00 Na Mwandishi maalumu
*Ajira zauzwa kuanzia Sh milioni mbili na zaidi
*Ukabila, kujuana na uroda navyo vyatumika
WAKATI Serikali ikiendelea na uchunguzi ndani...
Ndg wana JF ujio wa dr wa heshima Mrisho Jakaya Kikwete tumeambiwa kesho hakuna kufungua viosk vyetu sasa tutaishije? Kwanza wakati huu mgumu tunadaiwa vifaa vya shule na wanaotulazimisha ni Afisa...
Huu mpango anaotaka kuuanzisha msajili wa vyama vya siasa John Tendwa wakuvipa vyama rank hii nikudidimiza demokrasia nchini,kwa maana haviwezi kuendelea vita kufa tu! na hii nikuitengenezea CCM...
Wabunge kadhaa tayari wametangaza kustaafu au kuacha kugombea nafasi za Ubunge mwaka 2015. Kila mmoja akiwa na sababu tofauti ila wengi inaonekana ni kiwewe cha kushindwa baada ya kugundua kuwa...
Viongozi na wapenzi wa Chadema. Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mwelekeo wa siasa nchini na nimejaribu sana kufanya utafiti usio rasmi. Nilitaka kufahamu watu wanaounga mkono CCM wanafanya...
Ukitazama hali ya siasa kwa sasa bila shaka utagundua kuwa chama tawala bado kina nguvu kubwa ambayo bado hakuna chama pinzani imara cha kuweza kupambana nayo
Chadema ndio angalau chenye nafuu...
Rais wa nchi yetu tunae mchagua kila baada ya miaka mitano kwa gharama kubwa ana kazi gani? Mimi siku zote nilifikiri tunapiga kura ya kumpeleka mtu ofisini awe mtendaji mkuu wa nchi, tumpe ofisi...
mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Mgana Msindai ameisambaratisha kambi ya upinzani jimboni Mkalama, baada ya wanachama 182 wa vyama mbalimbali vya upinzani kurejea CCM. CHADEMA ndiyo iliyopata...
ifuatayo ni sehemu ya hotuba ya kufunga mwaka iliyotolewa na rais wa JMT alipokuwa anaaga mwaka 2012 na kukaribisha mwaka 2013.napenda tukipitie kifungu hiki kidogo cha hotuba na tujikite katika...
Ni kwenye mkutano uliofanyika mjini Vwawa, aliulizwa wewe ukiwa CHADEMA kiongozi wa ngazi ya juu kabisa mkoani Mbeya , kila ulipokuwa ukisimama jukwaani ulikuwa unasema CCM ni chama cha mafisadi...
Peace in our time? Scientist makes bold prediction that war is on the wane and will halve over next 40 years University of Oslo research suggests number of countries at war will fall from one in...
LEO NAZUNGUMZIA MOJA TU LA AIR PORT NITAACHA KUHU MAJENERETA YA UMEME WA DHARURA
Ndio tumeuanza mwaka mpya. Kuna mengi tuliyoahidi mwaka uliopita kuwa yatakamilika mwaka huu. Mutakumbuka...
Nimesikitika sana kiongozi mtarajiwa kutoka Chadema , kutoa kauli ya kushabikia na kutetea maandamano yaliyofanywa na wananchi wa Mtwara. Nanukuu kauli yake; (Siyo kwamba nashabikia bali natete...
Imeandikwa na Waandishi Wetu Jamhuri, Dar es Salaam
Alhamisi, Desemba 27, 2012 14:14
*Kila mjumbe wa Tume analipwa Sh milioni 294
*Waziri Chikawe asema hizo wanalipwa ‘vijisenti'...
Huwa nashindwa kuelewa huu msemo wa 'uislamu na siasa kali'.Vikundi vya kiharakati kama BOKO HARAM,AL QUEDA,HAMAS,HIZBOLAH,AL SHABAB na vinginevyo vingi vya aina hiyo kwa nini viitwe kwa jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.