Wasomi wa kitanzania tunajivunia nini?

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
NIANZIE NA MIMI MWENYE KAMA MHANDISI KUNA MALALAMIKO MENGI TOKA KWENYE JAMII INAYO TUZUNGUKA KWAMBA WENGI WETU TUMEKUWA TUKIFANYA KAZI KWA MAZOEA BILA KUJISHUGHULISHA SANA AKILI ZETU HILI LINA UKWELI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE UBUNIFU UMEKOSEKANA NDANI YETU HUKU TUKIACHA WAGENI WAKIJA KUFANYA KAZI AMBAZO NI RAHISI SANA MPAKA AIBU .NDIO KUNA SABABU NYINGI SANA ZINAZOCHANGIA HAYA MAMBO NA KUTUFANYA HIVI .LAKINI SWALI LA MSINGI JE NI KWELI PAMOJA NA MAKWAZO HAYO NA MFUMO MBOVU WA NCHI HII HATUWEZI KULIOKOA TAIFA LETU LENYE IDADI KUBWA YA ILLITERACY KWA KUTOA MICHANGO YETU KWA HALI NA MALI KUWA NA UZALENDO JAPO KIDOGO? NIAAMINIVYO MIMI SISI KAMA WASOMI NDIO MWANGA WA TAIFA KAMA NA SISI TUMEKAA KIMYA HATUJISHUGHULISHI HII NCHI SI INAENDA GIZANI TENA TORORO?
HIVI SISI KAMA WASOMI TUNA KIPI CHA KUJIVUNIA KWENYE HILI TAIFA? OUR BSC,BA, PHD , MA ,MSC etc. SO WHAT KAMA OUTPUT HAIONEKANI? TUAMKE WASOMI WENZANGU TUOKOE NCHI YETU
KWA NAMNA YEYOTE YATUPASA MCHANGO WETU UONEKANE YES WE CAN
 
Bwana msema Kweli !!!! nasikitika yawezekana kabisa nafasi na hadhi kama wasomi inazidi kupotea siku hata siku, hii inatokana na sisi kupoteza vielelezo vyetu ya namna ambavyo tuna weza kuwa na manufaa katika taifa letu, lakini mimi kabla ya kujadili nani msomi, nn maana ya msomi, faida ya kuwa msomi, ni bora nika mzungumzia mwana siasa, ambaye leo hii, hakuna taaluma maalum inayo muweka pale, aliye kuwa Prof, anachukua nafasi sawa na mbunge viti maalumu ambaye ana certificate ya Uhazili, na wengine kadhalika, lakini jambo moja kubwa kuliko yote ni pale ambapo hata thamani ya msomi ni far less compared to mwana siasa!!! ingepaswa kuwepo na uwiano unaokwenda sambamba walau kwa namna fulani, kuliko ilivyo sasa thamani ya msoni hakuuuuuna!!!!:A S 13:
 
NIANZIE NA MIMI MWENYE KAMA MHANDISI KUNA MALALAMIKO MENGI TOKA KWENYE JAMII INAYO TUZUNGUKA KWAMBA WENGI WETU TUMEKUWA TUKIFANYA KAZI KWA MAZOEA BILA KUJISHUGHULISHA SANA AKILI ZETU HILI LINA UKWELI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE UBUNIFU UMEKOSEKANA NDANI YETU HUKU TUKIACHA WAGENI WAKIJA KUFANYA KAZI AMBAZO NI RAHISI SANA MPAKA AIBU .NDIO KUNA SABABU NYINGI SANA ZINAZOCHANGIA HAYA MAMBO NA KUTUFANYA HIVI .LAKINI SWALI LA MSINGI JE NI KWELI PAMOJA NA MAKWAZO HAYO NA MFUMO MBOVU WA NCHI HII HATUWEZI KULIOKOA TAIFA LETU LENYE IDADI KUBWA YA ILLITERACY KWA KUTOA MICHANGO YETU KWA HALI NA MALI KUWA NA UZALENDO JAPO KIDOGO? NIAAMINIVYO MIMI SISI KAMA WASOMI NDIO MWANGA WA TAIFA KAMA NA SISI TUMEKAA KIMYA HATUJISHUGHULISHI HII NCHI SI INAENDA GIZANI TENA TORORO?
HIVI SISI KAMA WASOMI TUNA KIPI CHA KUJIVUNIA KWENYE HILI TAIFA? OUR BSC,BA, PHD , MA ,MSC etc. SO WHAT KAMA OUTPUT HAIONEKANI? TUAMKE WASOMI WENZANGU TUOKOE NCHI YETU
KWA NAMNA YEYOTE YATUPASA MCHANGO WETU UONEKANE YES WE CAN

Tunajivunia
1. Wizi wa Mali za Umma
2. Rushwa
3. Zinaa
4. Ulevi
5. Majungu
6. ......
 
ni kweli usemayo ndugu yangu politican over power system . lakini ni kweli na sisi wasomi tunajitambua tunaona maana ya shule au ndo tuna maliza hasira zetu kwa kuanza kula rushwa na kukubali kuwa corrupt na system kirahisi ni nani atakayebadilisha nchi kama sio sisi?
 
Alafu ilivyo kuwa ngumu wasomi kukubali ukweli, mara nyingi hata tulio wengi wetu hatupendi jambo kama hili lizungumziwe, na ndo nama huwezi kupata wachangiaji katika hili, nani aje ajiweke adharani hapa wakati ni ukweli usio pingika, Msomi msomi jina, thamani yake zero!!! kama unabisha ngoja tusubiri wajae alafu tuchambuane, wameishia humu humu kwenye JF tuuuuu!!! ambapo wameshazoeleka.
 
Inapotokea wasomi wameacha kazi yao ya kufikiri (critical thinking) na kuanza kuganga njaa, mfano kukimbilia ubunge kama kazi inayolipa ujue hakutakuwa tena na maendeleo. kwani kila mmoja anafukuzia visenti maendeleo yatatoka wapi. kweli inasikitisha sana
 
Tunajivunia
1. Wizi wa Mali za Umma
2. Rushwa
3. Zinaa
4. Ulevi
5. Majungu
6. ......

Na maandamano!! kama ilivyo mifano kwa wadogo zetu vyuoni ambao ndio haswaaaa emblem kwa taifa kwa jukwaa walilo nalo kama wangetaka kulitumia sawa sawa na fursa walizo nazo kutoa mapendekezo,
 
Tunajivunia
1. Wizi wa Mali za Umma
2. Rushwa
3. Zinaa
4. Ulevi
5. Majungu
6. ......
MKUUU HAKIKIKA HUJAKOSEA
7. uzinzi
8. kujilusha
9. dhuruma na unyonyaji
10. maboom tumezima
11. kiburi cha uhai/pesa
12. kuombaomba
13. ...........................
 
kila kitu tunampa muwekezaji ni kweli tumeshindwa kuongoza makampuni tumeenda kufanya nini vyuoni na mashuleni tumesomeshwa na ada za watanzania wenzetu jamani tuwaone huruma na wao japo kidogo .tuwaelimishe haki zao na kuwapa elimu ya uraia waweze walau kujitambua where is our intellectualism jamani?
 
we need changes na madiliko yaananza na mimi msomi ndugu zangu let us play our part tuoke nchi hii.
 
ni kweli mnavyosema lakini msukumo uko wapi? inapotokea tatizo wataalam wanaagizwa kutoka nje ya nchi 'rejea kauli ya rais juzi kwenye milipuko ya g la mboto' wakati huo huo kuna wataalam wa maswala ya usalama wanakuwa trained nje ya nchi kila mwaka, mchango wao hatuuoni. pia napenda kuwakumbusha wahandisi kuwa waachane na habari za kutafuta thamani ya x na y kila mwaka pale Coet, waende wakafanye kazi, sio kubaki kuwa vibaraka vya wachina kwenye kila kazi inayowahitaji.
 
Nashukuru kwa mada muhimu kama hii. Mara nyingi political system inaadhiri sana taalamu. Kama wanasiasa hawa nia njema na nchi na hawaheshimu mawazo ya wasomi. wanasiasa ndio wanaamua nini kifanyike na wakati gani.
Wasomi wazalendo wanaofanya kazi hayo vizuri kufuata sheria, taratibu na kanuni mara nyingi wamekutana na mambo ya kuwakatisha tamaa kutoka kwa wanasiasa na mafisadi ili kupindisha mambo. La sivyo mizengwe mingi. mwisho wa siku wasomi wanaona bora nijiunge nao ili niteseke........ufisadi, majungu, ...........

Mpaka pale katiba `nzuri` na ujibikaji katika mfumo mzima utakaporekebishwa.
 
Tunajivunia
1. Wizi wa Mali za Umma
2. Rushwa
3. Zinaa
4. Ulevi
5. Majungu
6. ......

Umesahau

7.Utumwa wa kiakili
8. Ujinga
9. Kuzungumza kiswahili kilichochanganyika na vijineno vya kiingereza (tumeshadiscus lakini bado anaonekana haelewi, ken yu imejin?... kwenye meeting iliyopita waliniendorse mimi niwe chairman wao). This is the cheapest way used by "beducated" fools to intimidate those they think haven't had the privilege to remain in classrooms for an extended length of time
10. Kuwaogopa Wakenya (Nahii ni kwasababu wakenya wana uwezo zaidi yao katika kutumbukiza vijineno vya kiingereza katika kiswahili chao)
 
fallacy in action
 
NIANZIE NA MIMI MWENYE KAMA MHANDISI KUNA MALALAMIKO MENGI TOKA KWENYE JAMII INAYO TUZUNGUKA KWAMBA WENGI WETU TUMEKUWA TUKIFANYA KAZI KWA MAZOEA BILA KUJISHUGHULISHA SANA AKILI ZETU HILI LINA UKWELI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE UBUNIFU UMEKOSEKANA NDANI YETU HUKU TUKIACHA WAGENI WAKIJA KUFANYA KAZI AMBAZO NI RAHISI SANA MPAKA AIBU .NDIO KUNA SABABU NYINGI SANA ZINAZOCHANGIA HAYA MAMBO NA KUTUFANYA HIVI .LAKINI SWALI LA MSINGI JE NI KWELI PAMOJA NA MAKWAZO HAYO NA MFUMO MBOVU WA NCHI HII HATUWEZI KULIOKOA TAIFA LETU LENYE IDADI KUBWA YA ILLITERACY KWA KUTOA MICHANGO YETU KWA HALI NA MALI KUWA NA UZALENDO JAPO KIDOGO? NIAAMINIVYO MIMI SISI KAMA WASOMI NDIO MWANGA WA TAIFA KAMA NA SISI TUMEKAA KIMYA HATUJISHUGHULISHI HII NCHI SI INAENDA GIZANI TENA TORORO?
HIVI SISI KAMA WASOMI TUNA KIPI CHA KUJIVUNIA KWENYE HILI TAIFA? OUR BSC,BA, PHD , MA ,MSC etc. SO WHAT KAMA OUTPUT HAIONEKANI? TUAMKE WASOMI WENZANGU TUOKOE NCHI YETU
KWA NAMNA YEYOTE YATUPASA MCHANGO WETU UONEKANE YES WE CAN

Asante Mganga Mkweli kwa hii post yako.

kwa kweli umesema ukweli wala hatuna cha kujivunia maana hata tujitetee vipi si rahisi kuepuka lawama. hebu angalia matatizo ya kijamii yanayo tokea, miundo mbinu kama barabara katika halmashauri zetu zinakula pesa nyingi za walipa kodi kila mwaka, wataalam tunajificha nyuma ya migongo ya wanasiasa wala hatuwajibiki, umeme pamoja na matatizo mengine ya ufisadi lakini wasomi pia hawawezi kuepuka lawama.

lakini kwa upande mwingine, naomba tuwape pongezi ma daktari (MD) wetu, ndiyo mimi naona ni wasomi pekee ambao kwa kiasi kikubwa wanaitetea na kuilinda fani na taaluma yao pamoja na mshahara kiduchu wanao pata bado wanatimiza wajibu wao vilivyo na wanaokoa maisha ya watz wengi. tuwape hongera madaktari wetu, na sisi wengine tujiangalie ni wapi tunavurunda turekebishe, maana maendeleo hayatakuja kwa kuandamana kushinikiza gharama za maisha zishuke maana hii itapelekea serikali kuchapisha manoti kibao mwisho tutakua kama zimbabwe, wasomi tulione hili tuwashauri wanasiasa ipasavyo.
 
Mimi sio msomi, Lakini niwaambieni wana jamvi wenzangu, CHANZO cha Taifa letu kupoteza mwelekeo wake ni pale ilipoanza kuwapuuza wasomi!!! Ndg zangu WASOMI ndiyo ROHO ya taifa lolote lile Duniani, Viongozi wetu wamekuwa wakipigiwa kelele sana na WASOMI juu ya mambo mengi ukiachilia hao Wahandisi, lkn siasa za Majungu na Kishirikina zimetawala matokeo yake Nchi tayari imepoteza uwelekeo. Wasomi wameshauri mangapi? Kuhusu Elimu, Afya, Miundombinu, Umaskini, Kilimo, Masuala ya kiutendaji nk.. Lakini wapi, Viongozi wetu na Elimu zao za ujanja wanaishia kuwakashfu.Mie nadhani kwa sasa sio FAHARI kujiita msomi Tanzania, hadi tubadilishe Utawala. Basi.
 
Usishau pia yafuatayo
1. Wavivu- ofisini wapewa vyeo hawafanyi kazi zao kusaidia jamii kila siku ni kuhudhuria mikutano, semina, etc..

2. Kukosa ubunifu- wanafanya yaleyale na vilevile bila mabadiliko

3. usumbufu- wanafurhaia kumsumbua wanayemhudumia kuonyesha kwamba wana vyeo...(njoo kesho bila sababu ya msingi)

4. Uwizi - EPA, PPF, Richmond ni kutokana na wasomi wezi.
 
Back
Top Bottom