Fursa tuziachazo: GE wahamia Kenya!

Fursa tuziachazo: GE wahamia Kenya!

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2008
Posts
886
Reaction score
376
GE, a major US conglomerate with interests in aviation, energy, agriculture and finance imefungua ofisi hapo jirani.
Safari zote za JK zina manufaa gani kwetu? Mbona Kibaki hasafiri sana na kazi zake nzuri zinaonekana ?
Jibu lipo hapa, Bosi wa GE Kenya anajibu :

What is your biggest worry as a businessman with huge investments in Africa?
Some of the things that must improve is infrastructure. We need to see growth across countries especially with regard to electricity and logistical networks. Also important is transparency, rule of law and a reduction in corruption. This will create a favourable environment for businesses to thrive. Another big concern is lack of enough well trained technical people.
Africa

Tuna laana gani sisi?
 
Kichwa cha Habari ni tofauti na mada. Kwani GE walikuwa na mpango wa kufungua ofisi Tanzania ? If the answer is no,then GE hawajahamia Kenya..bali wamefungua ofisi Huko.
 
Sisi tunaendekeza siasa za CCM na CDM, ZZK na Ben, Masalia na Dr. Silaa, Mulugo na ......hapo tu tunaongoza!
 
INVESTORS wa kweli,hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina uume, aah Im sorry I mean UMEME,unless wale wasanii wenzake babangu aliopiga nao picha, akina Jay zee,ndo wanaweza kuja kuwekeza nchini, kwa SHOO YA dk 15, pale LEADERS.., :crazy: :music: 😛hone:,
Nipe GAS Nikupe chandarua
 
Kichwa cha Habari ni tofauti na mada. Kwani GE walikuwa na mpango wa kufungua ofisi Tanzania ? If the answer is no,then GE hawajahamia Kenya..bali wamefungua ofisi Huko.

This country is resource rich by any definition. Na utajiri wa viongozi mazuzu pia tunao.
Wewe endelea tu kubishana na semantics, wenzako wanasonga mbele.
 
Mimi sijabishana na wewe by any means. Nimepishana na kichwa cha habari na habari yenyewe. Being a resourceful country doesn't mean or guarantee to get investors like GE and the likes. Hao wanaosonga mbele ni kwa sababu they got their acts together.

Huyo Boss wa GE Kenya ameleezea vitu muhimu sana kwenye majibu yake juu wa changamoto za uwekezaji AFRIKA.
Na ukiangalia katika hizo changamoto Tanzania inawezekana tunaguswa moja kwa moja.
Sasa unategemea mtu au kampuni inayofanya biashara zake kwa kutegemea faida inaweza kuja kuwekeza Tanzania kwa sababu tu tuna utajiri wa maliasili au rasilimali!?
Lets get real here! We (Tanzanians) needs to get our acts right and stop complaining about other countries opportunities.
Kama tunaonewa..kumbe tunajionea wenyewe.
 
Mkuu, hamna mtu anayelalamika kuhusu "other countries" hapa.
Tunalalamika viongozi wetu kuacha fursa kama hizi kwenda nchi jirani. Vitu vinavyotakiwa kurekebishwa vinajulikana,lakini watu wenye dhamana hawahangaiki.
If anything tunatakiwa kujiuliza what is our competitor doing better mpaka kuvutia makampuni kama GE kufungua Headquarters for the whole of Sub Saharan Africa in Kenya !!
 
GE, a major US conglomerate with interests in aviation, energy, agriculture and finance imefungua ofisi hapo jirani.
Safari zote za JK zina manufaa gani kwetu? Mbona Kibaki hasafiri sana na kazi zake nzuri zinaonekana ?
Jibu lipo hapa, Bosi wa GE Kenya anajibu :

What is your biggest worry as a businessman with huge investments in Africa?
Some of the things that must improve is infrastructure. We need to see growth across countries especially with regard to electricity and logistical networks. Also important is transparency, rule of law and a reduction in corruption. This will create a favourable environment for businesses to thrive. Another big concern is lack of enough well trained technical people.
Africa

Tuna laana gani sisi?

Hatuna laana, ni jadi yetu. Huwezi kuita jadi yako eti ni laana. Umeleta taarifa nzuri tu: Infrastructure, Transparency, Rule of Law and Reduction in Corruption. Mambo hayo yako kwenye damu yetu kiasi kuwa:

(a) Infrastructure: Tunaamini kuwa barabara mbovu ni jadi ya nchi ndiyo maana viongozi wananunuliwa magari makubwa yanayohimiri barabara mbovu.
(b) Transparency: Kwetu sisi, mikataba ya serikali ni siri ambayo hata bunge halitakiwi kuijua
(c) Rule of Law: Tuna utamaduni kuwa kigogo yeyote wa CCM ana uhuru wa kuvunja sheria yoyote bila kuchukuliwa hatua.
(d) Reduction in Corruption: Kwetu sisi kupokea rushwa hadi ukawa tajiri wa kutupwa kama Lowasa na Chenge ni sifa kubwa sana ndani ya jamii. Kama hiyo haitoshi, tumejitungia sheria inayohalalisha takrima!
 
kwenye B:

Ni tatizo kubwa sana hapo, labda katiba mpya itaweka wazi haya mambo. Tatizo ni kwamba katiba nayo technically ni kama inaundwa na mtu mmoja.
 
Hata uundwaji wa katiba haufanywi kwa transparency inayotakiwa. Kenya waliunda katiba yao kwa kutumia wataalam mbalimbali tena wa kutoka nje ya nchi; Tanzania watu hao wanateuliwa na Rais kwa matakwa yake mwenyewe. Kenya wakiwa na tatizo kubwa la kisheria wako tayari kutumia wanasheria wa kutoka nje ya nchi ili kuhakikisha haki inatendeka; waliwahi kumtumia jaji wetu katika kutatua tatizo lao la kisheria, siyo kuwa hawakuwa na wanasheria wa kufanya hiyo kazi bali ni kutaka kuhakikisha neutrality na transparency.
 
Unaona sasa?Hii ndio imepelekea kuuliza tuna laana gani sisi? Kwa sababu ingekuwa jadi, jadi si inabadilika kutokana na hali halisi ? Au culture ni static ?
 
Moja ya sababu ya kampuni nyingi kufungua biashara Kenya ni well educated and hard working work force. Sera ya Elimu Tanzania imefeli kumuandaa mtanzania kushindana katika soko la ajira la EA.
 
kuna ile interview iliyoendeshwa na hawa jamaa wa Pwc (pricewaterscoopers) iliyorushwa live,aliyekuwa anahoji maswali alikuwa mkenya.

Na kila swali alilouliza lilikuwa na mwelekeo wa ku discredit professinals waliosomea Tanzania. Tujiulize sisi tuna matatizo gani? Elimu tuliyonayo haifai au ni vp?
 
They will soon open an office in Tanzania.....
 
Mkuu, hamna mtu anayelalamika kuhusu "other countries" hapa.
Tunalalamika viongozi wetu kuacha fursa kama hizi kwenda nchi jirani. Vitu vinavyotakiwa kurekebishwa vinajulikana,lakini watu wenye dhamana hawahangaiki.
If anything tunatakiwa kujiuliza what is our competitor doing better mpaka kuvutia makampuni kama GE kufungua Headquarters for the whole of Sub Saharan Africa in Kenya !!
Mh. Kwame,
Nilipoongelea suala la sisi Watanzania kuwa walalamishi kuhusu "Other countries Opportunities" nilimaanisha in general terms, wala haikuwa kuhusu hii mada husika hapa.

Hawa Viongozi wetu wamewekwa madarakani au kuchaguliwa na nani!?
Watu wenye dhamana ni mimi,wewe na kila MTANZANIA mwenye uchungu na hii nchi.
Viongozi walio wengi ni wanaSiasa. WanaSiasa walio wengi huwa wanafanya vitu kwa manufaa Yao binafsi au kutekeleza matakwa na Ilani ya Chama tawala au Chama wanachokiwakilisha. Tusitegemee mapya na maajabu kutoka kwa WanaSiasa.

1) Our competitors (Countries) are doing better in educating and preparing people to enter highly skilled work force with confidence,knowledge,determination,hardworking and positive attitude.

2) Our competitors wamewthubutu,wameweza na wanasonga mbele kwa Vitendo,sio kwa maneno na ubabaishaji wa hapa kwetu.
Wameweza kurekebisha masuala ya umeme....barabara na mahitaji muhimu ya kuweza kuvutia WAWEKEZAJI.

3) Our competitors wako tayari kusikiliza na kufuata ushauri kwa manufaa ya Nchi na Raia wake.

I can go on and on about the things best done by our Competitors to attract such Investors. But the truth remains the same,Tanzanians NEEDS TO GET OURSELVES TOGETHER BY ACCEPTING CHANGES AND MOVING FORWARD TO CREATE COMPETITIVE HIGHLY SKILLED WORK FORCE.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
This country is resource rich by any definition. Na utajiri wa viongozi mazuzu pia tunao.
Wewe endelea tu kubishana na semantics, wenzako wanasonga mbele.

Hii ya utajiri wa viongozi mazuzu umenifurahisha..!!

Hivi ni viongozi mazuzu au sisi weneyewe ndiyo mazuzu?? Tatizo la nchi yetu mambo yanafanywa kwa ushabiki tu kama mpira wa Simba na Yanga. Utaona akina Ritz, Le Mutuz, Rejao hawatakanyaga hapa...... lakini ikitokea thread yenye kitwa kwa habari inacho include CCM au JK hawatalala siku hiyo mpaka waone JF wameichoka hiyo thread. Kwa ujumla Bongo kila mtu anafanya mambo kwa manufaa yake binafsi.

Tanzania mtu akiwa kwenye sehemu ya ulaji (kama wenyewe tunavyodai) asipokuwa coprrupt watu wanamuona mjinga!!
 
Hata Kenya wana siasa pia.....RAILA vs UHURU........Luo VS Kikuyu etc etc

Tena siasa yao ni mbaya sana kuliko yetu...ushahidi upo wazi.

Tatizo la Tanzania ni waTanzania wenyewe, tunalalamika sana halafu hakuna tunachofanya as individual [lack of action(s) as individual leads to lack of action as a collective] matokeo yake hapa JF panakuwa kama sehemu ya walalamishi wengi walio nyuma ya keyboards...:becky:. Tumekubaliana kuwa CCM haifai kwanini bado tunaiweka madrakani? [Lack of action(s)]

Mi nawasiwasi hata hapo 2015 tutakapoitoa CCM madarakani bado kuna wana JF watakaondelea na kasumba hiii hii ya kulalamika bila action(s), na kujilinganisha na nchi jirani bila any socio/scientifc analysis ku-justfy hayo malinganisho. :confused2:
 
kuna ile interview iliyoendeshwa na hawa jamaa wa Pwc (pricewaterscoopers) iliyorushwa live,aliyekuwa anahoji maswali alikuwa mkenya.

Na kila swali alilouliza lilikuwa na mwelekeo wa ku discredit professinals waliosomea Tanzania. Tujiulize sisi tuna matatizo gani? Elimu tuliyonayo haifai au ni vp?

Hili ni kweli kabisa.It is painfull hasa ukisoma gazeti kama The East African, jamaa wana u-activism fulani hivi yaani wao all the time ni kujipigia debe tu [nothing wrong with that ], sisi tumelala sana na kujiangalia binafsi tu. Waziri wa uwekezaji na mamlaka zake yupo, waziri wa biashara na viwanda yupo na wala hawastuki, business as usual.
Mwisho wa mwaka sijui kama kuna mtu anawauliza umefanya nini mwaka huu kwenye wizara yako.
 
Your name does not reflect reality.We don't need the so called investors from outside but a strategistic government which will be able to confiscate all the illegal investments of the so-called Mafisadi and use them fruitful to develop our nation.Don't be euro-centric.Be strategic and use what you have systematically to develop yurself and your country at large.

Back
Top Bottom