FOR 2015
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 538
- 227
Wanabodi naomba kujilishwa maendeleo ya kesi za Igunga na Sumbawanga zitasikilizwa lini. Aidha kwa mujibu wa taratibu ni lini Chaguzi ndogo za madiwani zinatakiwa kufanyika. Vipi ule mgogoro wa madiwani kule Mwanza Ilemela..Nasubiri kwa mwenye taarifa