Siasa za majitaka

Siasa za majitaka

Noor

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
146
Reaction score
49
Siku za hivi karibuni kila mtu amekua mwanasiasa. Je ili uwe mwanasiasa hodari ni lazima kuibua tuhuma zisizokua na kichwa wala miguu? Je siasa za vyama haziwezi piga hatua bila kuongelea vyama vingine? Mfano CCM hakiwezi timiza wajibu wake bila kutaja chadema?
TUJADILI
 
Back
Top Bottom