Waungwana, wachambuzi wa mambo, natumaini wote mko salama.
Nataka tushirikiane kutoa mchango, wa kujenga hiki chama kikuu cha upinzani, yana weza kuwa mawazo yanayo udhi kwa wanachama wake lakini labda ndio ukweli wenyewe huo katika kukiimarisha ili kichukue nchi kipindi kijacho.
Kusema kweli naona mwanga kwenye chama iki, toka kilivyo anzishwa namna kilivyokua kidogo kidogo mpaka leo kimekuwa chama kikuu cha upinzani. Ni chama kina vision, namna kinavyo panga mipango yake, kinavyosimamia mikakati yake, kinavyo ikosoa serikali, kinavyo ibua hoja za ufisadi na wizi unaotokea kwenye jamii yetu.
Namna kinavyo buni njia nyingine sahihi la kuongeza pato la chama nje ya ruzuku,(M4C harambee)kinavyo jitangaza kwa wananchi na kukusanya wanachama wapya, kinavyo weza kushinda propaganda za Lumumba, namna wanavyoweza kutatua matatizo na mitazamo tofauti inayo jitokeza(mgogoro wa karatu, uupuzi wa magazeti ya kila siku kuusu nani awe raisi, sinema za magamba kuusu kadi ya Dr. Sla.
Namna wabunge wake wanavyo ibua hoja bungeni, wengine wanasema wanapenda sifa ili waonekane kwenye tv swali kwanini nanyie msifanye kama wao ili mpate hizo sifa? Ni kweli kabisa CHADEMA wamejaribu, wameweza na wanasonga mbele kuchukua uongozi (sio utawala tuelewane) wa nchii hii, karibu tujadili.