TAHADHARI: Sio maoni yote yatakuwa katika katiba mpya

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
541
175
watu wengi wamekuwa wakitoa maoni yao nchi nzima lakini watambue kuwa sio kila wanachokisema na kukipendekeza kitakuwepo kwenye katiba ijayo...na yatachambuliwa baadhi tuu...
hivo basi ni nini maana ya wananchi kutoa maoni hayo,,,,?
na jee kama ulichokisema hakitakuwepo tutafanyaje...?
na jee utaiunga mkono katiba mpya......?

TUTAFAKARI SANAA....................!
 
Kwa hari ya kawaida tu, siyo kila maoni yataingizwa kwenye katiba, hiyo itakuwa siyo katiba bali uchafu! Cha msingi na cha muhimu kujiuliza, ni je, maoni ambayo wengi wanategemea kuwepo yatakuwepo? na kama hatakuwepo, basi wakati wa kupiga kura ya maoni ni vizuir kuitumia nafasi hiyo!
 
cdm wako tayari kuikubali katiba yoyote ili mradi itaruhusu watoto kugombea urais
 
watu wengi wamekuwa wakitoa maoni yao nchi nzima lakini watambue kuwa sio kila wanachokisema na kukipendekeza kitakuwepo kwenye katiba ijayo...na yatachambuliwa baadhi tuu...
hivo basi ni nini maana ya wananchi kutoa maoni hayo,,,,?
na jee kama ulichokisema hakitakuwepo tutafanyaje...?
na jee utaiunga mkono katiba mpya......?

TUTAFAKARI SANAA....................!​
 
Back
Top Bottom