Nimegundua kumbe, wengi wamerithishwa toka kwa wazazi wao;
William Malecela, Rosemary Kirigini, Vita Kawawa, Adam Malima, Hussein Mwinyi, Zainab Kawawa.
kuna wengine wapo wameshika nyadhifa kubwa tu hadi leo cha ajabu hatuwaoni wakiongoza kwa kuzingatia misimamo na itikadi za baba wa taifa......sielewi na wao wakifa tutawaenzi kwa lipi???? i really admire changes
Wakati huo walikuwa na nidhamu ya woga kwa kuwa kiongozi mkuu, Mwalimu J.K. alikuwa mzalendo na mwadilifu. Walivaa ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.