Mabaraza ya katiba

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,360
Nimepitia sheria ya mabadiliko ya katiba kuona haya mabaraza yanaanzishwa chini ya kifungu gani cha sheria nimeshindwa kupata. Nimejaribu pia, kutafuta mabaraza haya yakakuwa composed na watu gani na kazi zake hasa ni nini , nimeshindwa kupata. Nimejaribu kufikiria wajumbe wa mabaraza hayo watateuliwa na nani bado sijapata jibu.

Wanajamvi mwenye uelewa wa hili jambo naomba anifafanulie.
 
Back
Top Bottom