Viongozi wazalendo.

Viongozi wazalendo.

Joined
Jan 9, 2013
Posts
26
Reaction score
12
Ili Tanzania iweze kuendelea uzalendo wa viongozi lazima. Maana viongozi wetu si wazalendo hutumia muda wa uongozi wao kujijenga na kuwasahau uuma ambao uliangaika pindi unapiga kura. Kweli inasikitisha sana, kuona twataabika wakati tunazo rasilimali nyingi sana. Hii yote ni sababu ya ufahari ambao watanzania wengi hutafuta, nao ni kuta kuwa na mali kuliko mwenzio yaani "misifa". Ila ipo siku, i normally say," only a full can kick his Host".
 
Back
Top Bottom