Dokt.kitila Mkumbo na harufu ya shida za wana iramba magharibi.

Dokt.kitila Mkumbo na harufu ya shida za wana iramba magharibi.

mwanakidagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
208
Reaction score
78
Nini tofauti yako na wale wa ccm.ambapo tangu uhuru siku zote huishi jijini.2015,tuna taka mwenzetu ajuaye dhiki zetu, ajuaye aina ya maji tunayokunywa yanayonuka kinyesi cha ng'ombe ama punda.kwa maana dimbwi la maji la wanyama na binadamu ni moja.nyie huko dar tunasikia mna dawasco.na maji ya azamu(uhai).
Je hawa wanyiramba mafukara wa kutupwa wanaoendelea kuishi kwenye tembe,baada ya kuchagua mbunge wao, yeye huweka makazi yake dar,ingekuwa heri ukajipima.na kujitathimini ndipo uje,usikie kukata tamaa kwa vijana wengi na kugeukia ulevi wa pombe kali,tunamtaka mwenzetu tunaeishi pamoja nae ndipo aweza kupata uzoefu uliokomaa na namna ya kutatua matatizo yetu.
Hapa jamvini umesemwa sana,lakini nikwambie hatuhitaji mbunge anayewakilisha jimbo kwa remote akiwa dar.
Kaselya,iramba magharib'@
 
Last edited by a moderator:
Nani alikwambia Mbunge atakutatulia shida zako?
 
Hata mkiwa na mbunge ambaye mtakuwa naye hapo kwenu kama wenyewe hamfanyi kazi bali kulewa tu unafikiri maendeleo yatakuja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom