Baada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi ya Watanzania.
Dhihaka, kejeli na utusi dhidi ya Watanzania wanaofuata imani ya Kiislamu katika hotuba yake ya mwisho pale aliposema kuwa amefanikiwa kuondoa upogo wa kielimu kati ya Waislamu na Wakristo.
Kuwaweka mbele Wanaijeria Wakristo wa Biafra kuliko Watanzania "waliomchagua" kwa kutumia rasilimali na damu ya Taifa kuhakikisha kuwa Wakristo wa Biafra wanajitenga.
Hivi vyote vinamfanya Nyerere aondolewe jina la Baba wa Taifa.
*Mod tafadhali usiufute huu uzi kwa sababu ni pendekezo hivyo liko wazi kwa mjadala.