ITV wanarudia machungu ya 2012

ITV wanarudia machungu ya 2012

amkawewe

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
2,021
Reaction score
528
Naangalia ITV sasa wameonyesha matukio muhimu ya mwaka 2012
1. Kutekwa na kupigwa Dr Ulimboka
2. Aliporudi kutoka kwenye matibabu kutoka Afrika Kusini
3. Tukio la kuuwa kwa Mwandishi wa habari marehemu Daudi Mwangosi (RIP)
 
Dah yaani hizi mi very touching stories kamwe pengo la Mwangosi halitazibika
 
Aiseeeeeee babaangu nimewasha kitivi changu naangalia yani nasikia uchungu sana yani
 
dah! tunauombea mwaka unaokuja uwe mwaka wa baraka, mwaka ambao sote tunapewa fursa sawa, haki sawa.
Mungu ibariki Tanzania
 
RIP mwangosi.....................OLE WAO WAUAO KWA UPANGA.....................
 
dah! tunauombea mwaka unaokuja uwe mwaka wa baraka, mwaka ambao sote tunapewa fursa sawa, haki sawa.
Mungu ibariki Tanzania

Mungi pole sana mkuu, kwa mfumo huu wa chama TWAWALA cha magambaz huwezi pewa fursa sawa na haki sawa.Hivyo ni wajibu wetu sote tuka ungana kuzitafuta hizo fursa na haki sawa. Karibu kwenye mapambano!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom