Siku za hivi karibuni kumekuwa na kile wanachokiita uhuru wa vyombo vya habari hapa nchini. Hali hii imepelekea kuanza kukosekana kwa maana halisi ya vyombo vya habari na jukumu lake kubwa kwa...
Na Waandishi wetu
17th January 2013
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani (katikati) na...
Najua wapenda maendeleo wote tunajua ubaya wa CCM na viongozi wake,sasa wamepanga kuleta video inaonesha viongozi wa CHADEMA wakipanga kufanya fujo kama alivosema Mwigulu,si kwamba video hyo...
Alhamisi, Januari 17, 2013 06:07 Na Mwandishi Wetu
YALE mazoea ya kusema kwamba maendeleo ya Chama cha Wananchi (CUF), yamepatikana kutokana na Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad, na...
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, amewahamasisha madiwani wa chama hicho Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro...
WABUNGE wa Kamati ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala, jana wameonyesha kukerwa na taarifa za mamilioni ya fedha yanayodaiwa kufichwa nchini Uswisi. Wabunge hao, walionekana kuchanganywa mno...
Some scholar once said "A Country is poor because it is poor" so it is impossible a country like Tanzania to develope because she is poor as well as its people is poor.
Ni dhahiri kuwa mjadala wa mgombea urais 2015 umeanza kushika kasi na ndani ya mwaka huu mjadala utapanuka na kuzidi kushika kasi,,wameshasikika watu wakisema rais ajaye wa TANZANIA atoke zanzibar...
mkutano wa baraza la UVCCM mkoani Arusha wafanyika leo,Pia watembelea Hospitali ya Mount Meru kutoa misaada
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha,Onesmo Nangole (aliesimama) akizungumza...
Jiji la Dar linaongozwa (lote) na Chama cha Mapinduzi. Dar-es-Salaam ndio makao makuu ya Rais na viongozi wote wa juu wa serikali pamoja na wa taasisi mbalimbali za ndani na kimataifa. Ukifika Dar...
Kuimaliza ama Kuiliza all the same.
Kupitia mitandao hasa JF, kulitolewa maonyo na mikakati kadhaa ya maazimio ya CCM juu ya mikakati mahsusi ya kuidhibiti CHADEMA kupitia mitandaoni. Sehemu ya...
Kama CCM wameongoza zaidi ya miaka 20 na bado mahitaji ya muhimu kwa wananchi wameshindwa kuyashughulikia mimi nafikiri ni vyema tujaribu chama kingine chochote kwa miaka mingine 5 na wao...
SERIKALI imesema haitavumilia kwa namna yeyote ile vurugu za kidini, kikanda na ukabila ambazo baadhi yake zilitaka kulitia doa taifa mwaka jana.
Pia imesisitiza kwamba haitawavumilia wanasiasa...
Ni Upumbavu wa Watawala kuona vyama vya Upinzani vinakufa, ili wasipate mtu wa kuwachungulia na kuelezea hadharani madudu na ufisadi wanoufanya.
Kila kukicha wanabuni mbinu za kuua upinzani...
Heshima kwenu wadau!
Tanzania ni Nchi yenye Raslimali Nyingi Lakini wananchi wake wanaishi kwenye Lindi la Umaskini uliokithiri"Poverty amidist Rich Paradox".
Kwa Uchache Tuna
Bandari: Dar...
MBUNGE ABWAO APONGEZA IPC VIKOBA
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha Demokrasia (CHADEMA) Chiku Abwao amekipongeza klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) kwa...
Tukiwa tumebakisha siku kadhaa kuumaliza mwaka 2012 si vibaya kama tutajikumbusha matukio mabaya kwa mwaka 2012 yaliyofanywa/kusababishwa na CCM.
Natambua kuwa kuna matukio mengi na mabaya...
gesi hii ni yetu sote,gesi hii ni ya watanzania wote,wana kusini wanaitakia mema nchi hii,na hoja yao si kuikumbatia rasilimali hii kwa ubinafsi la hasha,ni kwa manufaa yetu sote,,
awali ya yote...
Serikali ya CCM kwa miaka hamsini wamekuwa wakikopa wananchi wa Kusini hasa Mtwara na Lindi. Wamewakopa wakiahidi kuwalipa siku moja... sasa deni limeiva wananchi wa Mtwara wanataka kulipwa...
Wana Jf wenye mapenzi mema na CDM , nifuraha kubwa kuona CHADEMA inaimarika kila kuitwapo leo, watu wengi wanaweza kufikiri kelele za maccm na wasaliti ndani ya chama (Masalia ) watakiyumbisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.