Serikali ya CCM ilipe deni la Kusini...

Serikali ya CCM ilipe deni la Kusini...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,282
Reaction score
44,795
[h=5]Serikali ya CCM kwa miaka hamsini wamekuwa wakikopa wananchi wa Kusini hasa Mtwara na Lindi. Wamewakopa wakiahidi kuwalipa siku moja... sasa deni limeiva wananchi wa Mtwara wanataka kulipwa wanaitwa wahaini, wanajipendelea, wachoyo na wabinafsi!...Ni wakati wa kulipa sasa... deni ni deni hata kama ni la kichaa...[/h]Wananchi wa Mtwara wanataka deni lilipwe siyo liahirishwe...
 
mkuu MMM nafarijika kuwa wamakonde wanaamka sasa..nafikiri m4c imewaingia,.ccm wanawapoteza allies wao wa miaka yote..good news
 
Sasa itokee Kwenye mikoa mingine 11 ambako kunatafutwa gesi igundulike gesi sijui itakuwaje watadai kugawana
 
CCM wasivyo na haya eti wataenda kung'oa mitambo ya Gesi na kuwaondoa wawekezaji wote ili wananchi wa mtwara wasifaidike...Sijui lini Magamba watakua kiakili na kuacha utoto...Tunajua, Wananchi wa Mtwara wanajua kuwa CCM Mmeshakula deal na Mabilioni tayari mnayo kwenye a/c zenu Uswis...
 
na kilimanjaro wanadai pato la mlima?

Na kwingineko je?

Kichaa anaota anadai, na wazima wanaamini anadai.
 
Nadhani kuna principle ambayo haijaeleweka sana kwanini kinachofanywa na watuwa Mtwara ni cha msingi sana. Ni zaidi ya suala la gesi kwa maoni yangu
 
Umeshaanza uchochezi eheeeh!!

Hiyo ni m4change sio uchochezi.

Tuliichangai sana Dodoma ili wajenge jiji na makao makuu. Tulijitahidi kukaza mkanda.

Sasa hakuna ubaya kama kasehemu cha mapato ya Gesi yatabakia kujenga uchumi na mji/ mkoa wa Mtwara na Lindi.

Serikali ya CCM inatoa ahadi "hewa" mpya kila muhula wa uchaguzi, wakishasimikwa madarakani, usubiri miaka 5 nyengine upate takrima na "ahadi hewa" nyengine.
 
....hata huku kanda ya ziwa wametukopa kali zaidi kutuachia mashimo makubwa mfano wa Crater ya Ngorongoro...:croc::croc::croc::croc::croc::croc::croc::croc:

Mtwara wameanza kuonesha mfano, sasa nyinyi "vichwa kama limao" mnasubiri nini?

Au mnataka Craters ngapi ndio muanze kudai walipe deni?
 
na kilimanjaro wanadai pato la mlima?

Na kwingineko je?

Kichaa anaota anadai, na wazima wanaamini anadai.

Wewe mkuu uko katika kundi lipi kati ya hayo uliyoyataja?

Kichaa au mzima?
 
na kilimanjaro wanadai pato la mlima?

Na kwingineko je?

Kichaa anaota anadai, na wazima wanaamini anadai.

Kilimanjaro hawajatelekezwa na serikali, kwa hiyo wanaiona faida ya mlima, ni tofauti na ndugu zetu wa mtwara serikali imewatelekeza, kodi/pato la korosho zao serikali inatia ndani, na gesi nayo wanaipora bila kuwajali.
 
Back
Top Bottom