Nchi yoyote haiwezi kuwa namaendeleo kama wananchi wake hawakuandaliwa vizuri kielimu. Elimu ndiyo msingi wa maisha kwa kila mwananchi na ndiyo chachu ya maendeleo ya kisiasa kiuchumi na...
Mwenyekiti wangu, kiongozi wangu, mm kama mwanachama mtiifu wa CHADEMA, ninayekipenda na kukitumikia chama changu!
Nimekerwa na kufedheheshwa na kauli,shutuma,propaganda na matutsi ya Makamu...
Mh Mkono ameungana na wakazi na wananchi wa mtwara kupinga gesi kupelekwa Dar kabla ya kuchakatwa huko Mtwara.
Wabunge wengine wa CCM ebu unganeni na wabunge hawa waliojitokeza kuwaunga mkono...
katika gazeti la mwananchi la leo,nimeshitushwa sana na kauli ya rais wetu kikwete kwamba anashangaa watu wa mtwara kusema kwamba,wanataka gesi waitumie wao tu,watanzania wengine wasiitumie,na...
.
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida diwani mmoja wa chama cha siasa jina laka na chama chake limewekwa kapuni kwa sasa amefumaniwa akivunja amri ya sita na mke wa mtu usiku wa...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, kuna tetesi kwambaDr Mwakyembe Mbunge wa Kyela amejikuta anapata kashfa na aibu kubwa jimbonikwake Kyela baada ya kutoa na kuahidi misaada mbalimbali...
Pro MUHONGO atuombe radhi kwa taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari kuwa watu wa kusini tokea uhuru wa tanganyika tumetegemea mikoa mingine ,atujazalisha chochote katika kulichangia taifa...
1. Rais apunguziwe madaraka
2.mawaziri wote wasiwe wanasiasa
3.wakuu wa mikoa na wilaya wawe wenyeji wa eneo husiku na wasiteuliwe bali wachaguliwe na wasiwe wanasiasa
4....tuendelee
5.
Ndugu wana jf na watanzania kwa ujumla..tuliona chama cha wananchi CUF kiliasisi opereshen yake na kuipa jina la mchakamchaka hadi 2015, lakini sasa hivi haijulikani ilipofia.je ndio wameshafeli...
Gesi asilia hapa nchini kwetu inapatikana maeneo ya kusini mwa Tanzania na hasa Mtwara na eneo la ukanda wa kina kirefu cha bahari ambayo ndio nyini zaidi.Ikumbukwe kwamba ili gesi iweze kupata...
MIHIMILI miwili ya Dola; Bunge na Mahakama, jana ilitoa maoni yake kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, huku Spika wa Bunge, Anne Makinda akitaka kuwe na mabunge mawili na kupendekeza kuwa Spika...
Wanabodi habari zenu!
Kuna tukio nililishuhudia jana Taasisi ya Mifupa Muhimbili maarufu kama MOI, napenda niwashirikishe tujadili hizi tabia zinazokera za viongozi wetu, hasa wa kisiasa...
Kuna matukio mengi tu ambayo Mh. Nyerere akifanya na yakaandikwa kwenye mtandao huu wanasiasa hao uchwara huwa tayari wameshaandaa wataalamu wao feki kufuta thread hiyo. Kwa mfano matukio ya...
Kwanini CCM inashinda uongozi, wakati watu hawakipendi?
Kwanini watuwote wanakilaumu chama hiki, lakini wakifanya mkutano unajaa?
Kwanini hata hao wanaotuhumiwa kukisaidia chama hiki (usalama...
Ninaomba kura zenu ili niwe Rais wenu Ndugu wana JamiiForums, Mtandao wa Issa Michuzi, wana FaceBook na mitandao mingine na Watanzania wenzangu wote kwa ujumla mtakaosoma ujumbe huu, Salaam toka...
Katika hali isiyotegemewa na wengi ndgu. Nape Nnauye amekiri ya kuwa kwa hali ilivyo sasa WAPINZANI wananafasi kubwa ya kuingia ikulu.
Hii ni kutokana na mambo yalivyo ndani ya CCM na huku...
Naangalia EATV, namuona Mh. Mwigulu Nchemba akiijadili CHADEMA na moja ya vitu anavyozungumza ni CHADEMA kuwa na makundi mawili huku kundi moja lenye nguvu linaongozwa na wanakaskazini ambao...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ameeleza kuwa kukosekana kwa political agreement miongoni mwa wanasiasa ni kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu kama Taifa. Nape ameeleza hayo kupitia...
Mabalozi wa Umoja wa Ulaya na Norway pamoja na maofisa wa Serikali na kampuni za mafuta wakiwa katika picha ya pamoja katika Bandari ya Mtwara wakati wa ziara yao mkoani Mtwara Machi 28, 2012...
JUMATATU, JANUARI 14, 2013 04:54 NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amejitosa katika sakata la gesi iliyoko Mikoa ya Lindi na Mtwara na kusema kwamba gesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.