Ingawa nitaendelea kuwa mipiga kura wa CHADEMA 2015, Ila naomba kuchangia kidogo kuhusu huu utafaruku unaoendelea.
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa matamko na uwasilishwaji wa hoja humu jamvini...
Historia ni mhimu kujua umetoka wapi, uko wapi na wapi unaelekea.
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake vi mtegoni, na itabidi kuamua kusuka ama kunyoa kwa kuwa kuna uwezekano mkubwa...
MIFUKO ya Hifadhi ya Jamii nchini inaongoza kwa kudhulumu wafanyakazi kutokana na kutofanya mrejesho wa faida inayotokana na vitega uchumi vyao. Wafanyakazi wamekuwa wakichangia fedha nyingi...
Tupo na M4C nchi nzima,ila tuwe makini kwenye daftari la kupiga kura,tunaweza kufanya vyote ila tukizembea kwenye daftari la kupiga kura itakuwa bao la kisigino,tutajiaminisha pote ila kwenye...
SERIKALI imekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga uliomuondoa madarakani aliyekuwa Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly (CCM).
Rufaa hiyo imewasilishwa Januari 10...
Ndg wa jf
Tuhuma anazotoa Shonzya ni nzito na hazitakiwi kuzikurupia kishabiki bila kuangalia mkutadha wa uhalisia.
Mimi naona CDM Ingeunda tume huru juu ya madai yake na kumshambulia. Leo...
SIFA ZA KIONGOZI BORA:-
Kisaikolijia sifa za kiongozi ziko wazi na ni
muhimu, mtu kuwa nazo kabla au baada ya
kupewa cheo. Leo tunataka kuziangalia kwa
undani sifa hizi, ili kama wananchi au...
Wakuu katika kuzifatilia kwa umakini baadhi ya hoja za watu wa Ntwara a.k.a Samaki Nchanga a.k.a Uchiteme wala uchimung`unye., ukitema nchale ukimung`unya nchale,, a.k.a kunyima ntu kitu nnto...
No that he loves Tanzania, but because he has seen Tanzanians to be untapped goldmine. He plans to establish a zoo in Connecticut USA. Where will the animals come from, ? answer that yourself...
CHADEMA imekua kinyume na fikra za watanzani tulivyotarajia,watanzania hasa vijana tulikua na tumaini kubwa sana na chama hiki.Watanzania walitumaini ni chama chenye misingi ya kidemokrasia,chama...
Ndg wanajamii hali ya CHAMA CHA MAPINDUZI manispaa ya Bukoba si shwari. Hii ni kutokana na hali ya kutoelewana kati ya meya dr. Amani (ccm) na vigogo wa chama hicho. MEYA anadai anahujumiwa na...
Wabunge wanazidi kujitokeza kuunga mkono hisia za watu wa Mtwara. Nami nawaunga mkono.
Haitakuwa rahisi kwa Rais na wapambe wake kuelezea sababu za bomba la gesi kutoka Mtwara. Siyo rahisi kwa...
JANUARY 16, 2013
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa, Mahamoud Madenge ameanza kazi ya kufa na kupona itakayowasaidia kulirejesha mikononi mwao...
OOH MTWARA, JIWE WALILOLIKATAA WAASHI…!
Mwishoni mwa mwaka 2012, baadhi ya wananchi wa mkoa wa Mtwara walifanya maandamano ya amani na yaliyofuata utaratibu wa sheria zilizopo, kwa lengo la...
Mwaka 2005 baadhi ya wahariri walihongwa kuwachafua Dr Salim, Mwandosya na Sumaye. Sasa wameanza kupokea hongo kuwachafua Membe, Slaa, Mbowe na Sitta. Kwa mtindo huu media ya Bongo itaendelea...
Swali hili ni kwa wale ambao katika fikra zao na mioyo yao wameamua kuikataa CCM. Wameamua kutokujiunganisha wala kujiambatanisha na chama tawala. Kwa hawa CCM ni kinyume nao. Napenda kujua hasa...
Juzi kati nilikua ktk kilele cha mlima Kilimanjaro pale Uhuru Pick. Niliamka saa tisa usiku nikaenda kwenye jabali kubwa nikaanza kuswali,kulikua na baridi kali sanaa na upepo mkali mno huku...
Tunaendelea na majadiliano juu ya hoja ya wenzetu wa Mtwara na Lindi kulilia gesi iliyopatikana kwao iweze kuwanufaisha kwao.
Nilifuatilia vizuri taarifa iliyotolewa na wizara ya nishati na...
Gazeti la Habari leo tarehe 17/01/2013 ukurasa wa mbele limeandika kuwa imethibitka kuwa utoroshwaji wa madini umekithiri katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere
My take
Kama Raisi Kikwete...
Kwa wale wenye access kwenye information za Africa Confidential wanaweza kutupatia details
TANZANIA
Electricity and elections
As multinational companies start bidding for gas assets, the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.