Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

VIONGOZI waandamizi wastaafu wa Serikali, John Malecela, Frederick Sumaye na Barnabas Samatta wametofautiana kuhusu madaraka ya Rais yanavyostahili kuwa katika Katiba Mpya. Katika maoni waliyotoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Thursday, January 17, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhili Suleiman Soraga alipokua amelazwa katika chumba cha dharura katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Diwani CCM Siha Kilimanjaro Akutana na Sauti Mungu" Diwani wa Kata ya Kashashi Jimbo La Siha Mkoani Kilimanjaro Suzan Kihundwa CCM" alijikuta katika wakati mgumu Katika kijiji cha Lokiri kitongoji...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Baada ya kutangaza kuwa amevuna Wanachama wa Chadema 7000, mara wabunge 7 wa CHADEMA kuhamia CCM, mara katibu Mwenezi wa Kata ya Saranga amehamia CCM n.k imebainika kuwa Mwigulu ni Mzushi Mkubwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana Jamvi, Tumesheherekea miaka 51 ya Uhuru mwezi uliopita. Nataka kuwaambia hao waliobuni hiyo kauli mbiu; hawakujua wanachofanya. Sasa nawabandikia picha ya choo cha shule moja ya msingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kamati za Kudumu za Bunge zinaendeleza na ku-support Wezi wanako kwenda kukagua. Utasikia Kamati ya Kudumu ya Bunge ina kataa report ya mkurugezi wa Halmashauri ina muelekeza akairekebishe kwani...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiangalia Tanzania, karibia kila mkoa kama siyo wilaya ina utajiri mkubwa wa madini, samaki, mbuga za wanyama, misitu, mazao ya chakula, nk lakini wakati huohuo, mikoa hiyohiyo ni masikini. Lugha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MADA. Anazungumzia maswala ya gesi kutoka Mtwara kuja Dar
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kila kukicha CCM hamlali mnatafuta njia ya kuchanganya vichwa vya wanamageuzi wa kweli TZ yaani Chadema. Msije poteza muda kupanda mbegu mbaya kwa mnaowadanganya kwa mnavyojua ninyi mkasahau...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada, sijauelewa vizuri mchakato wa katiba. Baada ya MAONI, hiyo tume itaandika katiba au maaoni yanapelekwa kwa Raisi ndio inaandikwa au Bunge linamalizia. Na kama ni tume itaandika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi Naona sarakas za gesi zimeamia Clouds fm,hapa naona Naibu wa Nishati Nhe. Simbachawene anatema povu katika mambo ambayo hayaitaji nguvu kbsa ktk kuelezea..nimemsikia akidai kujenga...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Bonyeza web chini ZanziNews : MCT yakiri baadhi ya vyombo vya habari vinachochea ghasia
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WITO WA MAANDAMANOMAKUBWA YA AMANI YA WANANCHI WILAYANI KAHAMA(shinyanga) KUTAKA MIGODI IFAIDISHEWANANCHI WA KAHAMA KWANZA. Katikati ya Mwezi Februari 2013, chama cha NCCR-Mageuziwilayani...
5 Reactions
63 Replies
10K Views
Ndugu wanaATCL / Serikali; Ebu tizameni nje ya boksi. Wadau hapa JF ebu tunaomba faida na hasara ya kukodi hiyo mitumba ya ndege kulinganisha na gharama ya kumiliki ndege mpya. Commercial...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Operesheni linda tembo pambana na ujangili Zitto Kabwe Toleo la 277 16 Jan 2013 MWAKA uliopita, ulijaa habari za kukamatwa shehena za meno ya tembo kutoka Tanzania huko Hong Kong zikielekea...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kama ilivyoada serikali ya mdhaifu huwa haiishiwi vituko. safari hii ni katibu mkuu wizara ya ujenzi Balozi HERBERT MRANGO, huyu bwana alishastaafu muda wake wakukaa ofisini lakini akaenda kulia...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
- Dr. JK ni Rais mwenye upendo kwa kila mwananchi, hata wale wanaomshambulia na magazeti yao kama Bwana Saeed Kubenea, alipomwagiwa Tindikali alikwenda kumuona Hospital na hata kumsaidia malipo ya...
4 Reactions
115 Replies
8K Views
Ni ajabu sana, sasahivi mchana kweupeeeee utaona na kusikia mabomu yanalipuliwa tena kwenye huu ukanda wa Veta baharini huku, na wanaonekana na mitumbwi yao, na kwa muda wa asubuhi yani katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwa na ujenzi wa barabara za mitaa kwa kiwango cha lami unaoendelea jijini Mbeya, ukisimamiwa na kampuni ya kichina, CICO. Ujenzi huu ni mkopo toka benki ya Dunia. Kuna kasoro nyingi za...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom