MKURUGENZI wa Mamlaka ya Bonde la Mto Rufiji (Rubada), Dk Aloyce Masanja amesema siri ya Tanzania kutopiga hatua ya maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi, ni kutokana na wananchi kuendekeza...
Ni maono yangu tu. Kwamba Serikali,kupitia Wizara ya Nishati na Madini, inalisubiri kwa hamu Bunge la Februari. Itawasilisha taarifa/hoja ya dharura juu ya gesi asilia ya Mtwara. Kama ni hoja,hoja...
CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga kimewatahadharisha wananchi kuepuka kuwaunga mkono watu au viongozi wanaohamahama na kuanzisha vyama vya siasa, kikidai wanataka...
Serikali ya Tanzania kwa kushrikiana na Serikali ya Uganda watajenga bandari ya Mwambani mkaoni Tanga. Sambamba na ujenzi wa bandari kutakuwa na ujenzi wa reli kutoka bandarini kuelekea mpaka...
Tafadhali, naomba mnijulishe gharama ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, iliyojengwa miaka ya 2000 hadi 2002 kuanzia Ubungo mataa hadi Mlandizi Pwani. Pia kama mna taarifa za ziada. Je ulikuwa ni...
Naibu Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Kibakwe-CCM,George Simbachawene ametoa mpya.
Amependekeza mitambo ya kuchimba gesi asilia mkoani Mtwara ing'olewe ikiwa ni kuwaadhibu wananchi wa...
NANI ana miliki ya dhahabu yote iliyogunduliwa Tanzania hivi sasa? Nani ana miliki yote ya misitu iliyopo nchini? Nani ana miliki ya gesi asilia iliyogunduliwa hivi karibuni mikoa ya Pwani, Lindi...
kwa namna yoyote ile mamlaka yoyote ya nidhamu lazima izingatie kanuni za haki za asili(principles of natural justice) zilizoanzishwa na mungu mwenyewe katika kushughulikia masuala ya nidhamu...
BENKI ya Barclays imefungua mashitaka dhidi ya Kampuni ya Tanzania Pharmaceutical na walalamikiwa watatu, akiwemo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dar es Salaam, Ramadhani Madabida, kwa...
Tume ya kukusanya maoni ya katiba inaendelea kukusanya maoni kwa vikundi mbali mbali vya kijamii.. jana ilikuwa ni zamu ya makatibu wakuu kutoa maoni yao.. pamoja na mambo mengine mengi ya msingi...
Tangu tupate uhuru saa 12:00 usiku wa manani, siku ya Jumapili tarehe 9 Disemba 1961, Jamhuri ya Tanganyika na baadae Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa chini ya TANU hadi ilipofika mwaka...
Jinsi Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbrod Slaa,Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari,Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Walivyoung'uruma Kwenye Mkutano Wa CHADEMA Njiro Moshi
Maelfu ya...
Watanzania hawadanganywi tena na wezi na mafisadi ambao wanatumia vibaya Mali za wananchi kupambana na watetezi wa wanyonge, hawalali usiku kucha wanapanga uzushi na uongo wa kuwadanganya...
Chama cha Mapinduzi ni baba wa mageuzi nchi mwetu, hivi sasa tunapita katika kipindi cha machafukonkatika vyama vya siasa ambavyo havina uongozi imara HASA Chadema; kipindi hiki kinatawaliwa na...
CCM ni chama kibovu, viongozi wake ni wabovu hilo linajulikana. CHADEMA ndio wako katika nafasi ya kuwaondoa CCM, sasa mtu anapoulizia kuhusu uaminifu na uwajibikaji wa CHADEMA halafu unamjibu kwa...
Baraza la vijana Manispaa ya Tabora muda huu wanakutana katika kuzungumzia mambo mbalimbali ya kisiasa katika manispaa hii na kupanga mikakati mbalimbali ya kukijenga zaidi chama chetu (CHADEMA)
Ni ushauri tu.Suala la akina Juliana Shonza limejadiliwa na kutolewa maamuzi. Waliofukuzwa,wamefukuzwa;waliokanywa,wamekanywa.Wote wameshapokea barua zao za kufukuzwa au kukanywa. Haki ya rufaa...
MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi,James Mbatia amesema yaliyomkuta kwenye yake ziara mkoani Mtwara ambako amelazimika kuikatisha,yametokana na umbea aliouita ni wa mwaka 2013.
Mbatia ambaye pia ni...
Kuhusu Rais Jakaya Kikwete, alisema mwaka huu atafanya uamuzi mzito utakaoungwa mkono kwa asilimia 100 na kwamba uamuzi huo utaishangaza dunia.
Gazeti la mtanzania leo,
Ni uamuzi gani huo...
Asilimia kubwa ya vijana tuna amini ya kwamba mwaka 2015 chadema itashika nchi baada ya kuchoshwa na utawala mbovu wa chama cha mapinduzi, Ahadi hewa na kukosa matumaini na ccm kutupatia maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.