HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza chini ya Mkurugenzi wake Willson Kabwe, imeingia katika kashfa baada ya kulipwa Sh1.6 bilioni na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa lengo wa kununua...
Kutokana na maelezo ya Mganga Mfawidhi, Benidict Ngaiza, kuwa sasa hivi hospitali hiyo inapata chini ya nusu ya bajeti iliyo kuwa inatolewa miaka mitatu iliyopita na dawa hupelekaji wake unasuasua...
Msukumo wa kiutendaji unaofanywa na Baraza la Mawaziri hivi sasa kwa kweli unatia moyo.
Tulianzankusahau ule msemo wa Ben Mkapa kuwa anacho kikosi chake cha askari wa miamvuli-mawaziri watendaji...
Nipo hapa pande za Bima watu ni wengi mno, foleni ni kubwa sijawahi ona, waandamanaji/wapigananji..wanazunguka barabara kuu huku jeshi la posilisi likiwa nyuma yao lengo kubwa ni kupinga utoaji wa...
NANUSA HARUFU YA GEORGE ORWELL MCHAKATO WA KATIBA
Written by Stonetown (Kiongozi) // 19/01/2013
Riwaya ya Shamba la wanyama (1945), ni moja kati ya kazi nzuri kabisa za kibunifu...
Lwitiko Sr
MOJA ya maagizo mazito ambayo Mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, aliyatoa wakati wa mkutano mkuu uliopita wa chama hicho, lilikuwa...
Baraza la madiwani la halmashauri ya Singida limeipa serikali hadi jumatano kuhakikisha chakula kinapatikana katika halmashauri hiyo, vinginevyo wameapa inyeshe isinyeshe wataunda tume kwenda...
Kesho kuanzia mida ya saa 8 makamanda vijana wa kisarawe wakiongozwa na john heche mwanyekiti wa bavicha watashambulia wilaya ya kisarawe na jimbo lake.
Leo nilikua eneo la kisarawe kuhakikisha...
Heshima GTs
Moja ya character muhimu katika siasa za ukombozi wa awamu ya pili (against black colonialist) na ambaye nilimpa heshima kubwa sana ni Prof. Baregu.
Hivi karibuni baada ya...
Tukisema utawala wa Kikwete ni wa kifamilia au tuseme kisultani kama siyo kifalme tunaambiwa tuna wivu na chuki. Je hapa inatumika itifaki gani yarabi?
Waziri mkuu mstaafu Mh. John Samwel Malechela amesema hakuna haja kwa rais kupunguziwa madaraka kwa sasa kwa sababu nchi yetu bado changa. Ameyasema hayo wakati akitoa maoni yake kwa tume ya...
Club ya yanga inafanya mkutano wake na unarushwa live na clouds tv,huku nikiwapongeza kwa hilo naomba kuweka sawa baadhi ya mambo.
Kuna taarifa imetolewa na wote wawili mwenyekiti na makamu...
wadau jf amani iwe juu yenu. kufuatana na ratiba ya CRC sasa ni zamu ya makundi,asasi,vyama vya siasa,marais wastaafu,ofisi mbalimbali za serikali nk.
tumesikia maoni yao mbalimbali ambayo...
Mwenyekiti wa Taifa wa BAVICHA,John Heche yuko hapa Mlandizi katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA. Makamanda John M.B.Mhozya,Burton Gwakisa pamoja na wengineo nao wapo.
Kamanda Heche bado...
Jaji Damian Lubuva, Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi (NEC)
akiongea na vyombo vya habari baada ya kutoa maoni ya katiba mpya kwenye tume ya katiba
TUME YA UCHAGUZI YATOA MAPENDEKEZO KWA TUME YA...
Itakumbukwa mwaka Jana kati ya maadhimio ya moja ya vikao vya CCM mjini Dodoma ilikubaliwa katika kukabiliana na wimbi la kukimbiwa na vijana ikichangiwa na hasira za kutokuwa na ajira CCM...
WABUNGE vijana katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameanza kujiandikisha tayari kwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa Mujibu wa Sheria kwa ajili ya mafunzo yatakayoanza...
Viongozi mliotimuliwa CHADEMA aacheni malumbano yasiyo na tija. Kama ni demokrasia, CHADEMA ndiko iliko demokrasia ya kweli.
1. Viongozi wa Chadema waliwaonesha Demokrasia ya Kweli kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.