the blower
Member
- Sep 18, 2012
- 26
- 7
Heshima GTs
Moja ya character muhimu katika siasa za ukombozi wa awamu ya pili (against black colonialist) na ambaye nilimpa heshima kubwa sana ni Prof. Baregu.
Hivi karibuni baada ya kuteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe wa kutekeleza mchakato wa kutupatia katiba mpya amepotea kabisa katika harakati.
Wasi wasi wangu ni je kazi yake mpya inambana sana au anazuiliwa kisheria? Na labda ameondoka kabisa kwenye siasa za ukombozi kama alivyoondoka kamanda Deo Kisandu???